katib mkoa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,574
- 2,167
vivianus vp bado inakataa wape watu namba wakuhakikie kama hutojali
Kwa wale waliojiandikisha au wanaotumia majina mawili kama Mimi mfano Javis Elias. password unatakiwa uandke Elias
vp kwa wanaotumia majina matatu
Hatimae nimethibitisha duuuh Asanteni Wana jukwaa kwl Ushirikiano ni nguvu
Hatimae nimethibitisha duuuh Asanteni Wana jukwaa kwl Ushirikiano ni nguvu
msaada jaman naandika namba ya mtihan na password ya jina langu la mwisho majbu yanakuja incorrect user name or password nn tatizo.msaada tafadhar
andka S0000/0000/2014 kama umemalza mwaka huo then andka jna lako la mwisho kwa heruf kubwa
Nikuwa nauliza kwamba eti hiyo boom hela ya kujikimu inayogaiwa kila siku cjui kila baada ya miezi miwil nayo mpaka uombe au tutapewa tu na hiyo hela ya mkopo inatumikaje naombeni mnieleweshe ndugu zangu