Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

ndugu wew umeingia ikakubali kabisa manager sisi inatugomea inatuambia tumekosea password au username
 
onen jins ya kulog in namba andika iv mf.
s1000/0032/2014
mwaka uliomaliza mwishon uo afu password ni jina lako la ukoo lile la mwisho
mf javis e balimwa utajaza balimwa as your pasword alafu ni herufi kubwa tu
jaribun mniambie
 
mbona maelezo yao katika kuthibitisha kama yana utata sasa hizo password tunatoa wapi ilhali hatuna a/c

kwenye kbox cha kwanza unatakiwa uandke namba yako ya mtihan eg S0612/0094/2014.....pia kwa box ya chin unatakiwa uandke user name eg unaitwa vivianus valence unatakiwa uandike valence then log in.................apo utakula bata tuuu
 
onen jins ya kulog in namba andika iv mf.
s1000/0032/2014
mwaka uliomaliza mwishon uo afu password ni jina lako la ukoo lile la mwisho
mf javis e balimwa utajaza balimwa as your pasword alafu ni herufi kubwa tu
jaribun mniambie

namba ya mtihan unaandka hv S1000/0032/2014 xohvo ulvoandka...ukiandka hvo inazngua maana wamexema uandke kwa heruf kubwa
 
Back
Top Bottom