Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

taarifa za TCU wametangaza kwamba vyuo vikuu vyote vina funguliwa tarehe 2/11 na kuhusu special dp ya UDOM chuo husika kitatoa taarifa zaid kuhusiana na mlolongo mzima hizo za tarehe 17/10 ni wadau tu wanatunga tarehe za uongo kama tarehe ingetoka wangeweka katika account yao ya UDOM...
 
dah! hawa special dipl.wanahaha sana cha msingi ni kurelax na kuenjoy ukisubir chuo husika kutoa maelekezo ya njisi ya kuripoti tu
 
jamani naulizia shule gani ya bweni gharama zake 1000000/" kwa mwaka nidham na masharti kwa mtt vinadhingatiwa?
 
kuna watu wanaosubiri 2nd selection kwenda form 5 humu?
 
Back
Top Bottom