Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

Mnaouliza siku ya kuripot sizani kama humu kuna mtu anaefahamu. Jambo la msingi la wewe kufanya ni kutembelea mara kwa mara website ya chuo husika lazima watawatolea tangazo tarehe ya kuripoti na mambo yote mnayotakiwa kujiandaa.
 
Jaman ni kwel hiyo trh 18 tunaripot au twapeana ma'hope tuu Jaman kitaa kimetuchoshaaaaa...!!!
 
hivi nyie mnaosema ni tarehe kumi na saba hizo taatifa mmezitoa WAP!? mbona mm sijaziona kwenye hio website kams vipi tuelekezeni nasisi tuangalie
 
Back
Top Bottom