Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

habari yenu, jamani naomba mnisaidie kuhusu joining instruction za udom na tarehe ya kulipoti chuoni
 
Habar zenu wan jf ?! kw yul anae jua ukwl kuhucu h ish kwamb wanafunz tuliochagulwa pal wot tutapagw prmary skulc n kwl?
 
sio wanafunz wote waliochaguliwa kwenda udom wamepangwa primary no kuna wa primary na secondary,,na kwawale wa primary watasoma hyo diploma kwa miaka miwil but kwa upande wa sec wao watasoma kwa miaka 3.,nazan umenielewa mkuu.,.
 
Kivip ngumu
 
Attachments

  • Gang like.jpg
    Gang like.jpg
    7.5 KB · Views: 1,264
sio wanafunz wote waliochaguliwa kwenda udom wamepangwa primary no kuna wa primary na secondary,,na kwawale wa primary watasoma hyo diploma kwa miaka miwil but kwa upande wa sec wao watasoma kwa miaka 3.,nazan umenielewa mkuu.,.

M nnacho jua wote wanaxoma miaka mitatu iwe diploma ya primary o diploma ya sec
 
Back
Top Bottom