Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

n add facebook ma profile name Gaspar Sammy kwa wadau wote tunaoenda pale udom tunaweza chat in fb
 
jaman mi ni mmoja kati ya walio chaguliwakwenda udom, lakini sijui n lini siku ya kulipoti,naomba kujulishwa kwa anae jua
 
jamani nisaidieni eti joining instruction za udom zinapatikanaje na tarehe ya kulipoti ni lini?
 
Back
Top Bottom