acha kuwatisha madogo tatizo lenu hampendi kusoma alafu mnataka mpate mabanda hilo halitowezekana milele..na hakuna lisilowezekana kama ukipiga desa vizuri unatoka kama kawaida..mbona nasikia kuna wadada wako pale wanapiga mabanda tu tena hiyo zl kwanini madogo washindwe!jaman wadogo zangu CoNAS si mchezo unaweza furahia kupata UDSM ila ukarudi mikono kichwan baada ya mwisho wa mwaka.kwa wale wa biology angalia sana koz inaitwa ZL ucje ukalia chuo na kuacha BOOM hewan.thanx:majani7:
jaman wadogo zangu CoNAS si mchezo unaweza furahia kupata UDSM ila ukarudi mikono kichwan baada ya mwisho wa mwaka.kwa wale wa biology angalia sana koz inaitwa ZL ucje ukalia chuo na kuacha BOOM hewan.thanx:majani7:
Conas,hawa huwa wana departmental GPA..wanadisco sana asee !