Waliochaguliwa Agronomy tukutane hapa

Juma juxx

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2016
Posts
313
Reaction score
150
Wale walobaatika kuchaguliwa agronomy
Leteni habari navipi uu mzigo ukoje
 
Soil Chemistry, Weed management, plant pathology, soil physics, seed biotechnology....... n.k karibuni kwenye huu mchezo
 
VP future yake mkuu na ugumu wake

Ina future nzuri sana, wengi wanapata shavu kwenye mashirika mbalimbali yanayojihusisha na kilimo, serikalini hata kujiajiri. Kuhusu UGUMU, daah Sijui nisemeje ila naamini HATA KUNYWA CHAI KUNA UGUMU WAKE MAANA NI YA MOTO lakini hua tunakunywa karibia kila siku. (Naamini umenielewa).
Karibu masomoni.
 
Ahsante sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…