Waliobomolewa nyumba zao kwa bahati mbaya Dodoma, wanaishi maisha Magumu

MGOGO27

JF-Expert Member
Jan 5, 2016
459
217
Kuna wimbo fulani wa Chama cha Mapinduzi unaimba

"Tumejipanga, mwaka huu mtaisomaaaaaa×2"
"CCM ni ile ile, ooooo ni ileileeeeeee"

Mwaka jana CDA+ Serikali+ CCM= Wawekezaji waliwabomolea wananchi wa Dodoma sehemu inaitwa Ndachi na wakasema wamebomoa kimakosa/bahati mbaya sasa mpaka leo hawa watu wanaishi maisha magumu.

NB: Hizi picha ni za nyumba ya balozi wa CCM mtaa huo
ace537c51940b563c61430768efa6b99.jpg

f1deb369baa83f42463e4f8ba8dd8de5.jpg

de17eff3146c67a9106f5b23d0987f57.jpg

3ab68f4ef76fbbbe7f2fa33eb2067994.jpg

5bf0059f8c7cf8aade641b8ba8d67c30.jpg
 
Nyumba zilibomolewa kwa bahati mbaya? Inamaana hivyo vijiko vilipokuwa vinapita maeneo hayo, nyumba zilianguka bahati mbaya?
Hii haiingii akilini.
 
Nyumba zilibomolewa kwa bahati mbaya? Inamaana hivyo vijiko vilipokuwa vinapita maeneo hayo, nyumba zilianguka bahati mbaya?
Hii haiingii akilini.
Baada ya kubomolewa hao wananchi ndo mkuu wa mkoa alitoa taarifa kwamba "hao waliobomoa hawakutumwa huko na wamebomoa kwa bahati mbaya,naomba radhi kwa usumbufu"mwisho wa kunukuu

Umeelewa mkuu?
 
Ninaimani hata leo kukitokea uchanguzi atakuwa wa kwanza kupigia CCM. Kwa hiyo muache aisome namba na bado wataisoma sana.
 
walipwe fidia na gharama za usumbufu.
Jana nimeongea nao na niliongea na huyo balozi nikawauliza maswali mengi nkaishia kucheka tu,wanasema serikali haihusiki eti yule wanahisi alikuwa mwekezaji ndo kawafanyia hivyo na hawaoni kama serikali imehusika pia balozi akasema huyo mwekezaji hawajamjua wange mjua wangemuonyesha,niliwaeleza kwani hao ni majirani zangu kwani nina kakibanda huko
 
N
Baada ya kubomolewa hao wananchi ndo mkuu wa mkoa alitoa taarifa kwamba "hao waliobomoa hawakutumwa huko na wamebomoa kwa bahati mbaya,naomba radhi kwa usumbufu"mwisho wa kunukuu

Umeelewa mkuu?
Nimeelewa. Ila hakuna bahati mbaya duniani. Someone must be responsible.
 
Baada ya kubomolewa hao wananchi ndo mkuu wa mkoa alitoa taarifa kwamba "hao waliobomoa hawakutumwa huko na wamebomoa kwa bahati mbaya,naomba radhi kwa usumbufu"mwisho wa kunukuu

Umeelewa mkuu?

huyo mkuu wa mkoa hawakumpopoa kwa mawe?
mkuu wa mkoa kazi yake ni kuhakikisha raia wanakuwa salama, na haki inazingatiwa.

huyo mkuu wa mkoa atakuwa amepewa rushwa...
 
b0f1f569873674d706ff0857146847f7.jpg

653b8268df5eb5792464f71ea1a5e337.jpg

01f35053c3c98ccf70e29067659a134d.jpg

Bomoa bomoa inaendelea dodoma,hapo ni nkuhungu stand ya zamani
 
Back
Top Bottom