Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,554 Reaction score 2,160 Apr 14, 2013 #221 napandanashuka said: inasikitisha sana,timu na mashine za kuokoa toka dar zinaweza fika pale ndani ya saa moja,sasa kama walikaa masaa 16,ni uzembe mkubwa huo.Hivi wanasheria ham wezi kushtaki kesi za namna hiyo kutetea wanyonge. Click to expand... Nadhani kilichogomba haponi nani atalipia Crane,Tajiri Bahili,Serikali ya Kifisadi TANROADS wasiojali kuhusu kuwa na Cranes.
napandanashuka said: inasikitisha sana,timu na mashine za kuokoa toka dar zinaweza fika pale ndani ya saa moja,sasa kama walikaa masaa 16,ni uzembe mkubwa huo.Hivi wanasheria ham wezi kushtaki kesi za namna hiyo kutetea wanyonge. Click to expand... Nadhani kilichogomba haponi nani atalipia Crane,Tajiri Bahili,Serikali ya Kifisadi TANROADS wasiojali kuhusu kuwa na Cranes.
W WANKIE JF-Expert Member Joined Jan 25, 2013 Posts 987 Reaction score 323 Apr 14, 2013 #222 dawa ni kuipiga chini magamba 2015!!!:yo:
MNYISANZU JF-Expert Member Joined Oct 21, 2011 Posts 7,046 Reaction score 1,106 Apr 14, 2013 #223 Inauma sana. CCM ni mashetani wakubwa.
O Ogah JF-Expert Member Joined Mar 10, 2006 Posts 6,238 Reaction score 1,570 Apr 14, 2013 #224 ....hii taarifa haitakuja kunitoka kichwani mwangu milele.........RIP marehemu.....na poleni sana Watanzania wenzangu...
....hii taarifa haitakuja kunitoka kichwani mwangu milele.........RIP marehemu.....na poleni sana Watanzania wenzangu...
M mahakama ya kazi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2013 Posts 1,520 Reaction score 245 Apr 14, 2013 #225 ndio ccm yetu hiyo