BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,487
- 14,064
Kutoka vyanzo vya kuaminika kwa asilimia 99.99 ni kwamba Ndani ya ACT Wazalendo ni watu wawili tu walio ahidiwa kubewa ubunge au kupewa ubunge nao ni Zitto Kabwe na Ado Shaibu katibu mkuu wa ACT Wazalendo. Hawa wana baraka kutoka Ikulu kwa Mamana pia hata kwa Mgombea mwenza wa CCN Nduhmgu Nchimbi.
Tegemeeni kuwaona hawa mjengoni Dodoma.
Hao wana uhakiia wa asilimia zote na wanao salia wanatumika tu hakuna hata mmoja atakaye chomoza na wanatumika bila wao kujua kwamba wanatumika.
Zitto Kabwe na Ado Shaibu ndio walibeba hoja ya ACT kushiriki uchaguzi. Na hao wawili wanajuana sana na kuna vitu wanavijua ambavyo huko ACT hakuna anaye jua hata yule Mkuu wao wa Chama.