Kwakweli Watanganyika tusiposhikamana kwenye hili la katiba tumeiharibu nchi yetu, na tuonyeshe mshikamano wetu hasa kwenye kura za maoni maana hali ilivyo ndani ya Bunge huenda wakafanikiwa kuwarubuni wabunge wa CUF wawaunge mkono ili wapate theluthi 2, kupitisha hoja za mufilisi,
maana wale 201 wengi walishanunuliwa kwa chai ya maghembe na Kawambwa.
maana wale 201 wengi walishanunuliwa kwa chai ya maghembe na Kawambwa.