englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,210
samahani hivi ni nani huyu mzee mkuu?
The only King Maker in Tanzania. Hiyo kichwa achana nayo. Nakumbuka Mtikila alianza kulalama, akatolewa Petty Cash yake, akakaa kimya toka siku hiyo kwa huyo jamaa. Jamaa yenu Mengi mpaka leo hana hamu kwa huyo.
Mzee Mwanakijiji wa JF kaufyata, alishikia bango Dowans, akaletewa AlAdawi, na kesi zote akashinda za ndani na Kimataifa mara tu akaletewa Symbion, akaletewa Mama Clinton, kama haitoshi juzi kaletewa kubwa lao m Barack Hussein Obama, mitambo hiyo hiyo iliyosemwa chakavu.
Usiufyate hapo ni mchezo?
Hiyo kitu ni kichwa ya ajabu ione hivyo hivyo.
MKuu Zomba...una maana kuwa Mtu kutumia rupia kwenye udhia inakubalika hata kama inatimiza matakwa binafsi na kuharibu maslahi ya jamii? I mean kama Mtikila was right, na akapokea petty cash akakaa kimya, je ni sahihi kuwa mhusika hakuna na makosa? Au kama mwanzo mitambo ya umeme ilikuwa mibofu mibofu (bovu) na kulikuwepo na kuongeza bei isivyostahiki, je kunyamaza kwa Mwanakijiji, na serikali na wabunge kuhusu Dowans kunaifanya mitambo hiyo kuwa safi leo? Nina maana yumkini kwa kizazi hiki kinachopita haya yakawa sahihi, lakini kinakuja kizazi ambacho hakitakubaliana kuona upuuzi huu unaoendelea.
Kwa nyie kina zomba hicho ni kichwa cha ajabu..kwetu ss ni kilaza tu huyoThe only King Maker in Tanzania. Hiyo kichwa achana nayo. Nakumbuka Mtikila alianza kulalama, akatolewa Petty Cash yake, akakaa kimya toka siku hiyo kwa huyo jamaa. Jamaa yenu Mengi mpaka leo hana hamu kwa huyo.
Mzee Mwanakijiji wa JF kaufyata, alishikia bango Dowans, akaletewa AlAdawi, na kesi zote akashinda za ndani na Kimataifa mara tu akaletewa Symbion, akaletewa Mama Clinton, kama haitoshi juzi kaletewa kubwa lao m Barack Hussein Obama, mitambo hiyo hiyo iliyosemwa chakavu.
Usiufyate hapo ni mchezo?
Hiyo kitu ni kichwa ya ajabu ione hivyo hivyo.
Kwa nyie kina zomba hicho ni kichwa cha ajabu..kwetu ss ni kilaza tu huyo
hata Chadema walikuwa wapole kwenye jimbo lake, wakati wa kampeni mchezo mkuu!The only King Maker in Tanzania. Hiyo kichwa achana nayo. Nakumbuka Mtikila alianza kulalama, akatolewa Petty Cash yake, akakaa kimya toka siku hiyo kwa huyo jamaa. Jamaa yenu Mengi mpaka leo hana hamu kwa huyo.
Mzee Mwanakijiji wa JF kaufyata, alishikia bango Dowans, akaletewa AlAdawi, na kesi zote akashinda za ndani na Kimataifa mara tu akaletewa Symbion, akaletewa Mama Clinton, kama haitoshi juzi kaletewa kubwa lao m Barack Hussein Obama, mitambo hiyo hiyo iliyosemwa chakavu.
Usiufyate hapo ni mchezo?
Hiyo kitu ni kichwa ya ajabu ione hivyo hivyo.
Waoooh afande wangu Alfred Tibaigana mzee wa kamati ya rufaa ya TFF. Pumzika kwa amani kwenye hotel lako Mkuranga.