Kuna kipindi niliamua kujipa kazi isiyo rasmi ya kufukuzia ladies wote walio niambia wako single.
Niliweka ratiba ya kumfukuzia demu kwa week 2. Katika kipindi hicho liniweka focus kwa demu mmoja tu. Nilifanya caring zote. Nilihakikisha najua ratiba zake zote na nili anticipate kwenye ratiba zao hizo wanatakiwa kuwa na mahitaji gani na nilikua nazama mfukoni na kuprovide. Gifts kama zote, nikatoa muda wangu pale waliponihitaji . Kwa vile mission ilikua na lengo maalumu la kujifunza sikuwa pupa kuomba mbususu.
Lengo langu kubwa lilikua nikuwekeza upendo then niwafanyie tathimini kama Kuna girl anayeishi maisha ya u single kwa kupenda.
Tathimini yangu ilifanyika kwa kipindi cha miezi 4, na zaidi ya girl 8 wote nillikua nadate nao kwa kipindi kisichozidi week 2.
Kati ya hao 8, wote kwa kauli zao na jinsi nilivyotathimini furaha zao nilifanikiwa kuwaonyesha maisha ya kupendwa yalivyo matamu. Wawili walinipa mbususu ndani ya zile week 2, wengine 3 walikuja kunitunuku week kadhaa badae baada ya kumaliza mission na nikaacha kutoa attention kabisaa.
Changamoto kubwa niliyoipata ni usumbufu na lawama baada ya kukata mawasiliano gafla. Situation hii ilinifanya kumiliki simcard nyingi ambapo gharama ya kuzihudumia zilikua juu. Pia ndani ya kipindi icho cha miezi 4 nilitumia pesa nyingi sana yaaani kama pesa hiyo ningeiingiza kwenye project ya kulima matikiti nahisi kipindi cha mauzo ningepata return isiyopungua hata 5M.
Hitimisho: nililo jifunza, watu wako single sio kwamba wanafurahia hali iyo bali ni kuwa tu hawana mtu wa kuwaonyesha upendo. Pia ni dhahiri kuwa girl anaependwa anafuraha mara dufu ya wale walio single.
Ukiona mdada muda wote amejaa makasiliko jua tu sector ya kupendwa imedorola au iko ICU kabisa kama sio mortuary.
Karibuni mlete ushuhuda