vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 421
Walio macho muda huu tupia neno
Kwel Mond bin laden ni mafuriko huwezi zuia kwa mkono
Haaaa mamvi?? Tusubir hatua ya robo final ya wenye nchi
Walio macho muda huu tupia neno
Namzungumzia mtoto wa tandale mkuu, chibu dangote
Mi nipo Songea.
Wakijitia kumtolea nje kwenye hatua ya tano bora au hata tatu bora mambo ya CDM yatakua tambarare. Kwenye jopo la kuchagua tano bora wapo watu lazima wawemo kwa kuonewa aibu kwasababu ni wagombea halafu kwenye jopo wamo. hawa ni WAPIGWE TU na makamu wa rais.
Wewe ke au mme au gasho.
swissme[/QUOTE
Ongeza option zingine yangu haipo hapo
Asante dada yangu tuko macho.hapa nipoWewe ke au mme au gasho.
swissme[/QUOTE
Ongeza option zingine yangu haipo hapo
majita musoma vijijini.
swissme
Ndg zangu kwa nini hamna usingizi au nyie ni walinzi ofici za ccm ?
Majina ya robo fainali ya ccm haya hapa. Hii habari ni mbichi kabisa msipuuze.
. WAPIGWE TU
.BILAL
.NDANDA KOSOVO aka MAMVI
.AUGOSTINO RAMADHANI
.ASHA ROSE MIGIRO
wengine kina 6, mwenye treni la Dar, Ngwarangwara, Miguu ya ng;ombe, Chemba wanauza sura tu.
Walio macho muda huu ni mapolisi,walinzi,wauguzi,madaktari,wezi,wakesha kwenye starehe,Tanesco,bandarin,wajenzi WA mchina,wachawi,single boys and girls etcNdg zangu kwa nini hamna usingizi au nyie ni walinzi ofici za ccm ?
Majina ya robo fainali ya ccm haya hapa. Hii habari ni mbichi kabisa msipuuze.
. WAPIGWE TU
.BILAL
.NDANDA KOSOVO aka MAMVI
.AUGOSTINO RAMADHANI
.ASHA ROSE MIGIRO
wengine kina 6, mwenye treni la Dar, Ngwarangwara, Miguu ya ng;ombe, Chemba wanauza sura tu.
Asante dada yangu tuko macho.hapa nipo
majita musoma vijijini.
swissme
Bebe ole nchilonchilo? Nani Dada yako wewe?haaaa kama una Dada amin usiamin yawezekana Mimi ni shemejio
Walio macho muda huu ni mapolisi,walinzi,wauguzi,madaktari,wezi,wakesha kwenye starehe,Tanesco,bandarin,wajenzi WA mchina,wachawi,single boys and girls etc
Walio macho muda huu ni mapolisi,walinzi,wauguzi,madaktari,wezi,wakesha kwenye starehe,Tanesco,bandarin,wajenzi WA mchina,wachawi,single boys and girls etc