Habarin wana mum,
Nataraj kwenda nairob mwez wa feb on 20th nahtaji kujua garama za vyumba kwa usiku katika lodge na maeneo lodge ilipo na garama za tax ikiwezekana kutoka stand.
Najua thread sio mahal pake am sory for that.
Thanks in advance.
Ww funguka kaka sema tu Unahitaji mrembo wa kukuonyesha jiji la Nairob na lodge za kupumzika.
sijajua unazungumzia kibali cha kufanya nini, ila ila unatakiwa kuwa na passport yako tu, pia unaweza kutumia pass ya muda ya africa mashariki amabayo ina isha baada ya mwaka mmoja toka siku ilipotolewa.Nakushukuru TECHMAN kwa mwongozo wako je kwa kukaa wik moja natakiwa kutafuta kibali.
sijajua unazungumzia kibali cha kufanya nini, ila ila unatakiwa kuwa na passport yako tu, pia unaweza kutumia pass ya muda ya africa mashariki amabayo ina isha baada ya mwaka mmoja toka siku ilipotolewa.
habari ya hapa na wewe ni mara ya kwanza kwenda kma mimi au mzoefu
habari ya hapa na wewe ni mara ya kwanza kwenda kma mimi au mzoefu
Habarin wana mum,
Nataraj kwenda nairob mwez wa feb on 20th nahtaji kujua garama za vyumba kwa usiku katika lodge na maeneo lodge ilipo na garama za tax ikiwezekana kutoka stand.
Najua thread sio mahal pake am sory for that.
Thanks in advance.
habari ya hapa na wewe ni mara ya kwanza kwenda kma mimi au mzoefu
....hahaaa ondoa shaka, ukizubaa utaachwa border kama hujawah cross border, maana watu mkifika border tu watu wote wanashuka na kubak gari nyeupe, sa kama akili yako haiplay fasta unaweza kushuka na kudai ushushiwe beg lako ukidhan umefika.....tehe tehe am kidin ila inakupasa kuwa active tu au uliza mwenyej utakae kaa nae, maisha mema mkulu.