Walio apply wizara ya afya

Walio apply wizara ya afya

Sheko

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
280
Reaction score
26
wakuu naomba mnijuze hivi selection za wizara ya afya zitatoka mwezi gani?mwenye kujua anisaidie
 
Kuanzia wa kumi ndo upite pite kwenye web yao!umeapply nn?
 
selection inabidi zitoke mwezi wa 8 mwishoni kama hakutokuwa na uzingizi wa wizara ya afya ili mwezi wa 9 ujiande kisha mwezi wa 10 muhula uanze ndio huwa wanafanya hivyo lakini kuanzia mwaka jana wamekuwa wakizingua kutoa so inaweza ikachelewa mpaka mwezi wa 10 katikati so jipange kwa lolote kuwahi kutoka selection hizo au kuchelewa!!
Pia uwe unapita website yao mara kwa mara unaweza kukuta taarifa yeyote
www.moh.go.tz
 
wakuu naomba mnijuze hivi selection za wizara ya afya zitatoka mwezi gani?mwenye kujua anisaidie
kwa wajibu wa ratiba ambayo wameisambaza vyuoni wamesema tar 17-30 august 013 ni kutangaza waliochaguliwa na muhula wa masomo utaanza tar 15 october upo hapo?
 
Kuanzia wa kumi ndo upite pite kwenye web yao!umeapply nn?
Nimeapply kozi mbil mkuu diploma ya co na medical labaratory Ila nimetokea form 4 2012 lakini bio nina c,chemc phy d,engl d ila mkuu nina f ya math ndo inaniumiza kicKwa mkuu
 
selection inabidi zitoke mwezi wa 8 mwishoni kama hakutokuwa na uzingizi wa wizara ya afya ili mwezi wa 9 ujiande kisha mwezi wa 10 muhula uanze ndio huwa wanafanya hivyo lakini kuanzia mwaka jana wamekuwa wakizingua kutoa so inaweza ikachelewa mpaka mwezi wa 10 katikati so jipange kwa lolote kuwahi kutoka selection hizo au kuchelewa!!
Pia uwe unapita website yao mara kwa mara unaweza kukuta taarifa yeyote
www.moh.go.tz
Sawa mkuu nimekusoma vp ushindani katika clinical officer na medical labaratory tech maana nimetokea form 4 2012 ila nina f la math ndo linaniumiza kichwa huko kwengine fresh sababu nina bio c,chem c,phy d na english d
 
omba mungu tu,kuna dogo alikuwa na C' masomo yote ya sayansi akakosa mwaka jana,ushindani ni mkubwa sana kule.
 
sawa mkuu naamini allah atasaidia tu
halafu huwezi kuwa hizo pass ukaomba diploma co labda cheti ca ikiwa mwaka jana nilikuwa na div ii 21 wakanipiga cheti ca hapa nilipo wala hajanipiga co sembuse wewe na tokeo hilo.
 
halafu huwezi kuwa hizo pass ukaomba diploma co labda cheti ca ikiwa mwaka jana nilikuwa na div ii 21 wakanipiga cheti ca hapa nilipo wala hajanipiga co sembuse wewe na tokeo hilo.
Mkuu wakati wenyewe wameandika katika fomu zao kwamba katika kozi za diploma wanataka bio uwe na c chem c na phy uwe na d sasa mboni unataka ukatishe watu tamaa mkuu nenda kasome vizuri vigezo vyao uone. kwa uwezo wa Allah nitachaguliwa tu
 
mkuu wakati wenyewe wameandika katika fomu zao kwamba katika kozi za diploma wanataka bio uwe na c chem c na phy uwe na d sasa mboni unataka ukatishe watu tamaa mkuu nenda kasome vizuri vigezo vyao uone. Kwa uwezo wa allah nitachaguliwa tu

haya bwana tusirumbane kwa hilo bwana. Mimi sio msemaji wao wizara.
 
4m4 ukasome diplomaaa bongo hii au kenya???.dogo acha ubshi 4m zlizo tolewa zlikuwa ni dploma nagred A ktk 4m moja ivo ww ilibd uchague levo yko ndo ujaze,unajaza koz moja tuuu! kwa- 4m moja.4m-4 uende dploma ata km uwe na one point7 uend kwa tz hii!! ukuOmba ushaur! any way subr majb mwez -8.
 
omba mungu tu,kuna dogo alikuwa na C' masomo yote ya sayansi akakosa mwaka jana,ushindani ni mkubwa sana kule.

Ushindani/kujuana?? 2011 kuna watu walikuwa na four yenye vidii na f but walipata nafasi!!
 
4m4 ukasome diplomaaa bongo hii au kenya???.dogo acha ubshi 4m zlizo tolewa zlikuwa ni dploma nagred A ktk 4m moja ivo ww ilibd uchague levo yko ndo ujaze,unajaza koz moja tuuu! kwa- 4m moja.4m-4 uende dploma ata km uwe na one point7 uend kwa tz hii!! ukuOmba ushaur! any way subr majb mwez -8.
Atubishani mkuu tuna elekezana tu! Ngoja niandke jinsi walivyoandika katika fomu yao
admission requirement for pre-service candidate
A)diploma course:
A candidate must have completed secondary school education
Aapplicant should have passes in science subject with a minimum of ;c; pass in chemistry and biology and ;D; in physics for diploma courses OR form six candidate with a minimum of :E: in all science subject (physisc ,chemistry and biology)
B;certificate course.
Applicant should have passes in science subject with a minimum of 😀: PASS in all science subject (physisc,chemistry and biology)
Hapo vipi mkuu unasemaje kuhusu hilo.alafu wale wanachaguliwa tech college kama dit na mbeya walitoka form 4 wale sick wanaanza na diploma nani kasema form 4 haanzi na diploma.Hili ni kwawote mlionipinga
:
 
4m4 ukasome diplomaaa bongo hii au kenya???.dogo acha ubshi 4m zlizo tolewa zlikuwa ni dploma nagred A ktk 4m moja ivo ww ilibd uchague levo yko ndo ujaze,unajaza koz moja tuuu! kwa- 4m moja.4m-4 uende dploma ata km uwe na one point7 uend kwa tz hii!! ukuOmba ushaur! any way subr majb mwez -8.

acha ubishi ndugu kuna wa2 mwaka jana wamepata...
 
acha ubishi ndugu kuna wa2 mwaka jana wamepata...

kwa taifa hili lilipofikishwa hata yale kwa macho na akili za kawaida unaona hayawezekani kabisa yanawezekana,hujui kapataje hiyo nafasi jiangalie wewe usijilinganishe na wenzako,mwaka jana mwaka jana,huu ni mwaka mwingine.
 
poa!kaka nimekusoma kweli umeapply maana maelezo ndivyo yalivyo nani anayebisha bila ya kusoma maelekezo(no research,no right to speak)
 
poa!kaka nimekusoma kweli umeapply maana maelezo ndivyo yalivyo nani anayebisha bila ya kusoma maelekezo(no research,no right to speak)
Si huyo hamisi na yussuf apo juu wanabisha ebu watoe matongotongo mkuu
 
si huyo hamisi na yussuf apo juu wanabisha ebu watoe matongotongo mkuu

nafikiri humu wapo wenye akili kidogo wataelewa,ukiangalia hiyo sifa kwa aliyemaliza f6 awe na e za pcb kwa ukweli ni kwamba ana iii ya point 15 huyu anasifa hata ya kwenda chuo kikuu kwa kozi yoyo lakn tuko nao hapa waliwekwa kuchukua cheti kati ya wanachuo wote 33 watu 8 tu ndio f4 na hao hawana kama hiyo f ya physics ya kwako.
Kiukweli wewe ukipata basi ujue sekta ya afya ni ya kwenda na vilaza. Wapo ninaowajua mimi walikuwa na pass nzuri tu kulinganisha na ya kwako walikosa wameamua kuomba mwaka huu ndo unaenda kushndana nao na f yako hyo tena eti diploma ha ha ha ha ha wewe anza kuangalia pa kwenda tu hapo ulishakosa kwani tar 17-30 august siyo mbali.ulishalaza mwaka wewe.
 
Back
Top Bottom