Walio apply wizara ya afya

Walio apply wizara ya afya

nafikiri humu wapo wenye akili kidogo wataelewa,ukiangalia hiyo sifa kwa aliyemaliza f6 awe na e za pcb kwa ukweli ni kwamba ana iii ya point 15 huyu anasifa hata ya kwenda chuo kikuu kwa kozi yoyo lakn tuko nao hapa waliwekwa kuchukua cheti kati ya wanachuo wote 33 watu 8 tu ndio f4 na hao hawana kama hiyo f ya physics ya kwako.
Kiukweli wewe ukipata basi ujue sekta ya afya ni ya kwenda na vilaza. Wapo ninaowajua mimi walikuwa na pass nzuri tu kulinganisha na ya kwako walikosa wameamua kuomba mwaka huu ndo unaenda kushndana nao na f yako hyo tena eti diploma ha ha ha ha ha wewe anza kuangalia pa kwenda tu hapo ulishakosa kwani tar 17-30 august siyo mbali.ulishalaza mwaka wewe.

hana F ya physics amesema ya math ambapo ufaulu wa math ni kama sifa ya ziada tu,ucmkatishe tamaa
 
nafikiri humu wapo wenye akili kidogo wataelewa,ukiangalia hiyo sifa kwa aliyemaliza f6 awe na e za pcb kwa ukweli ni kwamba ana iii ya point 15 huyu anasifa hata ya kwenda chuo kikuu kwa kozi yoyo lakn tuko nao hapa waliwekwa kuchukua cheti kati ya wanachuo wote 33 watu 8 tu ndio f4 na hao hawana kama hiyo f ya physics ya kwako.
Kiukweli wewe ukipata basi ujue sekta ya afya ni ya kwenda na vilaza. Wapo ninaowajua mimi walikuwa na pass nzuri tu kulinganisha na ya kwako walikosa wameamua kuomba mwaka huu ndo unaenda kushndana nao na f yako hyo tena eti diploma ha ha ha ha ha wewe anza kuangalia pa kwenda tu hapo ulishakosa kwani tar 17-30 august siyo mbali.ulishalaza mwaka wewe.

Kwahiyo furaha yako w ni kuona mwenzako anakosa nafasi ya chuo?
 
we bro sheko kuna watu humu ndani ya jukwaa la jf hawazielewi mada bali wanajua sana kukatisha tamaa umesema una f ya math anasema una f ya ph,lkn we tulia tu kaka utapata,nami pia nimeapply nimepata b ya chem,c ya chem,na d ya bios pia b ya math na d ya eng,sijui nami kama nitapata maana hapo bios mkuu kama vipi tuwasiliane
 
farijianeni kwa maneno haya"#UTAPATA"
 
farijianeni kwa maneno haya"#UTAPATA"
We mkuu najua english umeshindwa kuielewa.Baada ya matokeo ya kidato chat nne kufutwa wizara ilitoa fomu maalum Kwa lugha ya kiswahili ambayo hiyo wanajaza wanafunzi maalum ambao waliapply mara ya kwanza na matokeo yao yakabadilika. Ambapo katika fomu hiyo wameandika fomu hii ijazwe kwa wanafunzi wa kidato chat nne 2012.
Sifa
Kozi za stahada mwanafuni awe amepata katika c boilogia na kemia na d katika phy.katika fomu hiyo hawakutaja advance wala nini.Kwa wale waliorudisha fomu muhimbili nafikiri wamemuona yule mmama ambaye anapokea fomu yule kama fomu yako umekosea kujaza lazima akurekebishe anakwambia hapa umekosea.alafu kuna mdada mmoja alikuwa na ddd katika pcb aliomba diploma yule mmama akamwambia hapa umekosea diploma lazima uwe na c za bio na chem na d ya phy na kama mimi nilikuwa nimekosea basi angenilekebisha
 
we bro sheko kuna watu humu ndani ya jukwaa la jf hawazielewi mada bali wanajua sana kukatisha tamaa umesema una f ya math anasema una f ya ph,lkn we tulia tu kaka utapata,nami pia nimeapply nimepata b ya chem,c ya chem,na d ya bios pia b ya math na d ya eng,sijui nami kama nitapata maana hapo bios mkuu kama vipi tuwasiliane
umeomba diploma au cheti ya kozi gani mkuu
 
diploma ya clinical officer mkuu, pia kama unajua chuo cha private kinachotoa kozi hiyo mkuu wangu
 
Kuna kam kipo kimara mkuu mi mwenyewe natafuta mkuu lakini sijui info zake vizuri hiki chuo
 
na mim niliyepata F ya phy,C ya chem,D bios na D math.. ntapata kwl kwa koz ya assistant co na lab..(Cheti)
 
na mim niliyepata F ya phy,C ya chem,D bios na D math.. ntapata kwl kwa kozi ya assistant co na lab..(Cheti)
Sijui mkuu lakini masomo ya lazima ni bios,chem na phy hayo mengine ni ziada tu.omba mungu tu ndugu kwani Kwa Allah hakuna kinachoshindikana
 
Lakin kama umefanya vizur katka masomo ya chem & bioz na pia ktk masomo ya ziada basi ususan somo la maths ambalo linakulinda ktk physics bt 2ckate tamaha
 
Kupata post za afya ni shida sana kwa sababu serikali ina vyuo vichache sana
 
Ni kumba mungu tu mkuu vipi Nimesikia eti wanaitajika watu elfu 4 tu mkuu eti kweli juu ya hili
 
Back
Top Bottom