ni kumba mungu tu mkuu vipi nimesikia eti wanaitajika watu elfu 4 tu mkuu eti kweli juu ya hili
Dah!noma kweli sijui nitapata maana div yangu yenyewe 4 math nina f ila huko kwengine nimebalance vizuri maana pcb nina dcc engl d nimeomba diploma ya co na lab.mungu nisaidie nichaguliweserikali ina vyuo vitano tu vinavyotoa diploma ya clinical officer na kila chuo kinachukua wanafunzi 50 kila mwaka kwa hiyo ugumu ndio upo hapo. Cha msingi ni kumuomba mungu tu ili uchaguliwe
kweli mkuu umenena kwani ye ndiye wa kutegemewaDah 2ombe mungu
Vp kcmc kipo chini ya wizara mkuuCertificate vitakua 8
vp kcmc kipo chini ya wizara mkuu
inaonekana una uzoefu na mambo Haya mkuu vp result unavyoona zina probability ya percent ngapi kuchukuliwa maana nimeomba co na medical labkcmc kilichopo chini ya wizara kinatoa diploma za amo,nursing,physiotherapy na optemetry
Tumuombe mungu huku tukiwa na point husikaDah 2ombe mungu
Acha ujinga dogo CO ina ushindani mkubwa sana kuliko hata degree ya education ya chuo chochote Tanzania,halafu kuhusu vigezo hivyo ni vya minimum requirements kumbuka kuna COMPETITION wa na four yako ya o level huwezi shindana na mwenye four ya Advance na vile vile Allah hawezi wasaidia walio shallow ka wewe halafu wabishiMkuu wakati wenyewe wameandika katika fomu zao kwamba katika kozi za diploma wanataka bio uwe na c chem c na phy uwe na d sasa mboni unataka ukatishe watu tamaa mkuu nenda kasome vizuri vigezo vyao uone. kwa uwezo wa Allah nitachaguliwa tu
dah!umenikumbusha mbali sana.enzi hizo muhimbili inachukua MDs 100 halafu kuna PCBs ilboru-40,Kibaha-35,mzumbe-40,Kilakala-40,Msalato-40,Marian-40 hao ni candidates wa PCB kutoka special schools ambao tuliamini ni lazima wapige single digit aka division 1.hapo ndio uanze kuzifikiria shule kama usagara,pugu,minaki,azania,tosa n.kserikali ina vyuo vitano tu vinavyotoa diploma ya clinical officer na kila chuo kinachukua wanafunzi 50 kila mwaka kwa hiyo ugumu ndio upo hapo. Cha msingi ni kumuomba mungu tu ili uchaguliwe
Acha ujinga dogo CO ina ushindani mkubwa sana kuliko hata degree ya education ya chuo chochote Tanzania,halafu kuhusu vigezo hivyo ni vya minimum requirements kumbuka kuna COMPETITION wa na four yako ya o level huwezi shindana na mwenye four ya Advance na vile vile Allah hawezi wasaidia walio shallow ka wewe halafu wabishi
inaonekana una uzoefu na mambo haya mkuu vp result unavyoona zina probability ya percent ngapi kuchukuliwa maana nimeomba co na medical lab
Acheni kimsingizia mungu kwa kila jambo nyie,sa nnani ana maneno machafu dogo,COMPETITION ndio itakayo kuondoa na si vinginevyo.........swali la kizushi........ka mungu anatupenda sana mbona miongoni mwetu ni masikini sana ingawa hatuataki hata kuskia kuwa masikini]Haya kk umeshinda kwa maneno yako machafu kama mungu kapanga upate utapata tu kma hakujaria bac mungu ni mku atafanikisha tu tuckate tamaa jamaa zangu wakina Sheko na mr Ben kwa maneno ya watu...![
wakuu mm nina C ya biology.D ya kemia.D ya phiz.D ya english je hapo vp kamoyo na nimeomba cirtificate ya clinical oficer kakuchaguliwa kapo au ndo vile tena maana dha! Ni noma xana