ANTHONY MAVELA
New Member
- Aug 2, 2013
- 2
- 0
math f mkuu
Pamoja mkuu!Haya kk umeshinda kwa maneno yako machafu kama mungu kapanga upate utapata tu kma hakujaria bac mungu ni mku atafanikisha tu tuckate tamaa jamaa zangu wakina Sheko na mr Ben kwa maneno ya watu...!
jamani vipi kwa form 4 walioaply course ngazi ya certificate na yenyewe ni ngumu kupata?
4m4 ukasome diplomaaa bongo hii au kenya???.dogo acha ubshi 4m zlizo tolewa zlikuwa ni dploma nagred A ktk 4m moja ivo ww ilibd uchague levo yko ndo ujaze,unajaza koz moja tuuu! kwa- 4m moja.4m-4 uende dploma ata km uwe na one point7 uend kwa tz hii!! ukuOmba ushaur! any way subr majb mwez -8.
Ushakata tamaa mkuu usihofu wanawezaDaa! kuna jamaa humu ndan anaxema kwa form4 alie apply diproma ni inshu xna kuchaguliwa so kanikatisha tamaa kabisa yaan coz hatuna haadh ya kuchaguliwa mi ngoja nifanye mishe nyingine sinampango nao tena kwa mtindo huu wakuu balaa....!
vp mwenzangu umeomba kozi gani mkuuMsibishe jaman ndivyo form zinavyosema jaman