Askari sio binadamu wa kawaida, Kuna mafunzo hupatiwa Ili kuwa tayari kukosa baadhi ya haki kwa maslahi ya taifa!, (kwa mfano;- kuwa tayari hata kufa), linapikuja suala la kijamii, wengi Wao wameoa Na wana familia zao, lakini muda wanaopata kukaa Na familia zao Ni mdogo kulinganisha Na akina sie free style life maker!. Na muda wanaopata kukaa Na familia zao kwanza Ni likizo Na muda ambao wanaowalinda hawaonekani hadharani. Kimsingi sisi tunawaona zaidi wanapoonekana viongozi Na baada ya hapo wanajua wenyewe!.