Walinzi Wa Gadaffi

Walinzi Wa Gadaffi

r-GADDAFI-FEMALE-BODYGUARDS-large570.jpg
 
Hivi wanakuwa mabikira maisha yao yote?
 
Hivi hawa wadada wako wapi kwa sasa? Au wamejichimbia na Gadafi huko kwenye handaki?
 
_45901857_woman_ap_1006.jpg



Hapa naona Belusconi kafikishwa kwa mambo yake ya vitoto - meno nje tu hata kamsahau Gadafi
 
Hivi wanakuwa mabikira maisha yao yote?

Wanakuwa kwenye kazi ya kumlinda kwa muda miaka fulani (contract basis), akimaliza mkataba ndiyo anaruhusiwa kupata boyfriend, kuolewa na kuzaa.
 
E bwana wakimg'oa huyu mzee tutammisi kinoma Africa, ingawa alitaka kututeketeza kwa kushirikiana na Idi amini dada "Nduli" ila mtindo wake wa kutumia walinzi mademu wabichi! ni njema kinoma.
 
Machafuko yalipopamba moto kama sikosei nilisoma CNN aliwatema hawa mabinti akihofia watakuwa weak link kwenye security network yake!
 
Back
Top Bottom