Vladimir Lenin JF-Expert Member Joined Jul 21, 2018 Posts 3,613 Reaction score 5,138 May 26, 2021 #1 Salaam wakuu, yuko wapi Ali Choki-Mzee wa Farasi? Nipo nasikiliza moja ya ngoma zake 'walimwengu wabaya'. Aisee hii ngoma haitokaa ichuje.
Salaam wakuu, yuko wapi Ali Choki-Mzee wa Farasi? Nipo nasikiliza moja ya ngoma zake 'walimwengu wabaya'. Aisee hii ngoma haitokaa ichuje.