SHIVA MAINA
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 293
- 42
Hivi unadhani, kuibawaga CCM, ndo suruhisho Ila ni dhahiri shairi kwamba kubadili utawala uliopo ni shughuli pevu, inayohtaji maandalizi Ki,elimu, uchumi na hata kijamii kwa wale wayatakayo mabadiliko na si kukurupuka kama ilivyo hivi sasa,
Waweza kubisha lakini subiri OCTOBER utaamini !
Waweza kubisha lakini subiri OCTOBER utaamini !