Walimu wote nchini watakiwa kuchangia pesa ya mbio za mwenge wa Uhuru nchini 2017

Jana mmmekatwa Loan board leo Mwenge safi sana endeleeni kukamuliwa maana nyie ndio mnaliangusha hili taifa...akili zikikaa sawa nyie ndio mtaongoza mageuzi kwa nchi
 
nafikiri kada ya walimu nchi hii ina kansa hatari sana. kama wao wanashindwa kujitetea, wanawafundisha nini watoto wetu juu ya ujasiri wa kujitetea? Mwenge ni wa nchi nzima iwaje wafanyakazi wa Halmashauri ndio wabanwe (michango ya lazima na kukesha kwa lazima). Mbona wafanyakazi wa serikali kuu hawana huu upuuzi?
 
Nadhani waacheni tuu wachangie kwani wao Umoja ni nguzo yao.
Sambamba na hilo wao ni wasomi sana na waelewa sana wa sera na siasa ya ujamaa ambayo inasisitiza kuhusu UMOJA.

Mapinduzi ya pili ndani ya Tanzania yataletwa na waalimu mwaka watakapoweza kuwa wawazi.

Tujaribu kufikiria kwa nini kada zingine hawaambiwi wachangie?

Wahasibu hawapo?
Wanasheria?
Engineers?
Politicians?

Ni waalimu tuu ndo wanalalamika lalamika kila siku...........................................
 
Kwa faida zipi za huu mwenge? Kama wanaona gharama kuuzungusha si wakaupeleke makumbusho ya taifa tukauangalie kule
 
Actually i was very happy when i was a teacher,with dust chalk on my hands,than now when am a Minister,
Chief Nanga in A Man of the People by Chinua Achebe
 
Hawa si ndo wanapewaga tenda za kusimamia vituo vya uchaguzi acha tu wamenyeke akili ziwakae sawa
 
Back
Top Bottom