Ningekuwa Mwl Gration Mukoba Ningeachia Ngazi Kwa Hii Aibu Ninayoipata
Yaani Hata Kidogo Katibu Ulouch Kule Kilimanjaro Kwenye Mazishi Ya Mwl Kada Alisema Kidogo
Uhakiki waalimu,wafanyakazi hewa waalimu,watoto kufeli waalimu,kuhakikisha chama pendwa kinashika hatamu waalimu,michango ya mwenge waalimu,kuwapa wanafunzi ujauzito waalimu.Hivi waalimu mna nini? Kila kitu nyie tu?kwa nini mkubali kudharaulika kila siku na kutumika? Cha ajabu utashangaa wanakaa kimya kama hawaoni wanavyotumiwa kama .......
Sioni haja ya kuwepo kwa mwenge kama serikali umewashinda kuuendesha wapeleke makumbusho mtu akitaka kuona aende uko sio kuufanya uwe chanzo cha kuwafanya watu wawe masikini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.