Walimu Wilaya ya Kilindi walazimishwa kuchangia mwenge

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
May 19, 2014
709
1,543
WanaJF

Nimeshangaa kupigiwa simu na rafiki yangu mwalimu aliyeko wilaya ya Kilindi iliyoko mkoani Tanga kuwa wanalazimishwa kutoa Tsh 2,000/= kwa ajili ya mwenge na ambaye hatatoa ametishiwa kuswekwa ndani kwa muda wa wiki moja.

Habari za chini chini zinadai waratibu Elimu na maafisa watendaji kata wamepewa agizo hilo ikiwemo kuachimba mkwara walimu watakao

Walimu poleni.
 
Kwani Mwenge unaanzia wapi mwaka huu?? Maana haujatumbuliwa bado
 
Pumbavu sana........wanawaonea sana maeneo ya vijijini kwa sababu ni masikini na hawajui haki zao pumbavu sana haya majitu
 
Huu uchawi wa mwenge cjui JPM atausitisha???
Maana manufaa yake hayaonekani physically
 
Yaani tubane matumizi hivi halafu tuchezee pesa kwenye Mwenge?! Sherehe za Muungano zenyewe tumefuta..
 
Changieni tu walimu maana wengiwenu kipindi cha uchaguzi mlitumika vema hasa wa primary
 
Back
Top Bottom