Walimu wengine nuksi sana

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,102
53,382
13900319_785329014903822_2689932867966803005_n.jpg
 
Kwa shule zinazofuata sheria zao kikamilifu hilo jambo la kawaida na hupewa adhabu pia wamiliki wa cmu hzo shule niliyo soma cmi zilikuwa zikikamatwa huvunjwa na adhabu juu yake..
 
Wazazi hamuelewi tu jinsi hizi simu zilivyoharbu watoto, wakati unafundisha kumbe mtu anachat kwenye simu. Kingine pia wale wasio na uwezo wa kununua wako radhi kulala na mtu yeyote yule ili mradi na yeye awe anachat. Wazazi tushirikiane kwenye swala hili.
 
sawa kwa kiasi kikubwa walimu tusaidieni maana nyie mnaaishi na watoto wetu kwa muda mwingi huko shuleni
 
Hii imenikumbusha miaka ya 2004 nikiwa Form five pale Jitegemee High school ilipitishwa Rokoo ya kusachiwa katika mabegi watu wengi walikamatwa na vitu vingi wengineo Simu, Condom, na vidonge vya uzazi wa mpango. Shuleni kuna vibweka sana. Na waliokutwa na ivyo vitu waliitiwa wazazi wao na afande *Mkisi *aliwapa adhabu.. Maisha
 
Zihifadhiwe stoo ya shule mtoto akimaliza shule apewe simu yake.Kuharibu mali kwa njia hiyo ni kufuru!
Ni vema wanafunzi waanziwe mapema utii wa sheria, ikicheleweshwa kufanyika ndio watakaoenda kujenga mabondeni na kukataa kuvunjiwa nyumba kwa kukimbilia mahakamani...
 
Mnawaonea watoto wakati watu wazima wanaperuzi Facebook wakiwa kwenye kikao cha bunge.
 
Wazazi hamuelewi tu jinsi hizi simu zilivyoharbu watoto, wakati unafundisha kumbe mtu anachat kwenye simu. Kingine pia wale wasio na uwezo wa kununua wako radhi kulala na mtu yeyote yule ili mradi na yeye awe anachat. Wazazi tushirikiane kwenye swala hili.
kweli kabisa...nina shemeji yangu, form six now nakumbuka alikua anataka smart phone basi tricks halizokua ana
tumia ili nimnunulie zilikua hatari sana
 
Back
Top Bottom