Walimu wawili wanahitajika

Jeitakuajejaji

Senior Member
Mar 18, 2010
168
381
Tunahitaji walimu wawili wenye uwezo ufuatao
1. Waujue vizuri mtaala wa hesabu wa shule ya msingi
2. Wajue kutumia kompyuta
3. Wajue lugha ya kiingeleza kwa ufasaha ( kuandika na kuongea)
4. Wajue kutafasiri mabandiko.

Piga simu 0715531232 kama unavigezo hvyo hapo juu.
 
Mmmmmh hiyo namba 3....Ila I hope hakuna interview ya kingleza mkuu
 
Back
Top Bottom