Babati Yetu
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 374
- 120
kama n kijijin acount mpya tutafungua vip
Ukiripoti kwa mkurugenzi unafungua account ndani ya masaa mawili.Nakushauri fungua NMB japo foleni mwisho wa mwezi ni majanga.
kama n kijijin acount mpya tutafungua vip
wanajamvi naomba kuuliza kuwa ni account ya Benki gani mwalimu mpya anapaswa kuwa nayo, na kuna usumbufu kiasi gani ukienda kuripot kwanza ndipo ufungue Account?