augustino ameri
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 267
- 57
ila kiukweli sekta za:-
1.Ualimu
2.udaktari na
3.uaskari,
hizi kiujumla wao zimesahaulika mno na ndizo nguzo kuu kwa ustawi wa jamii ya kitanzania, hv ikitokea kuna migomo ya waalimu, ikitokea kuna migomo ya madaktari na ikitokea jeshi kuasi, itakuwaje? Mie nafikiri tuzidi kumwomba Mungu ili mioyo ya watawala iwafikirie vilivyo hawa jamaa zetu.
Tatizo walimu hawatumii advantage ya wingi wao.
Hapo ni nani wa kulaumiwa? walimu? au serikali?dhana ya serikali ktk walimu ipo kwenye divide and rule! walimu wapo kenye vitabaka vidogo vidogo vinavyowafanya wasiwe na umoja wa kweli!
Tatizo walimu hawatumii advantage ya wingi wao.