Manton
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,167
- 1,544
Hongera sana kwa kujitolea katika muda wako wa ziada kusaidia watoto wetu ambao ni mboni ya taifa letu siku za usoni. Niende moja kwa moja kwenye lengo mahususi la uzi huu. Nimekuwa nikipata maombi kutoka kwa baadhi ya wazazi wanaosomesha watoto wao shule za kimataifa zenye hadhi ya nyota tano, ambao wanataka watoto wao wawe na uangalizi wa kitaaluma na malezi walau mara mbili hadi tatu kwa wiki katika saa moja (an hour) kila siku. Sasa nimezidiwa na kazi ambazo zimetokana na 'recommendation'. Hivyo basi kama una upungufu wa 'vichaka' tuwasiliane kupitia; 0785 174 258. Vigezo: Jinsi yoyote(ke au me), umri wa kazi, usipungue miaka kumi, ya kufundisha watoto majumbani. Asante.