Walimu waliosaisha mitihani ya taifa hawajalipwa pesa zao

chakula cha watoto

JF-Expert Member
Apr 25, 2023
462
974
Walimu waliokuwa wanamark mitihani ya taifa ya form four 2023 kituo cha korogwe ttc mpaka Leo hawajalipwa pesa zao ilihali huku kote wamepewa. Wakidai hizo pesa wanatishiwa kufukuzwa kazi. Wanaambiwa ole wenu mpaze sauti tutawafukuza kazi muone kitaa kulivyo kugumu
Screenshot_20240106-143235.jpg
 
Jambo Dogo Kama Hili Ambalo Hutengewa Budget Na Bunge Ndani Ya Wizara Ya Elimu
Linawezaje Kuzua Taharuki Utagundua Nchi Imejaa Uholera Yaani Kazi Wafanye
Malipo Iwe Tabu Viongozi Hawa Wanatakiwa Kuachia Ngazi
Waziri Wa Elimu , Sayansi Na Teknolojia
Mtendaji Wa Baraza La Mitihani



Huu Siyo Uzembe Ila Uhuni, Mtu Anadai Haki Yake Anatishwa Tena Na Viongozi
 
Malisa anafanya kazi nzuri sana lakini huenda mbeleni ataumia.

KUlikuwa na haja kuwaita wahusika BATA?
Yap dogo anafanyakazi nzuri
Ila Ana kauri CHAFU na za HOVYO
Sio mara ya kwanza kufikisha jambo Kwa KAURI ZA KUKOSA heshima
hawezi kufikisha jambo Kwa uweledi
Na ukimuambia ukweli kuhusu Hilo
Wafuadi wake wanakushukia Kwa kasi ya mwewe
Na wewe ukionekana una hoja unakula BLOCK pia

KOSOA ila Kwa HESHIMA(kueshimiana) sisi ni WATANZANIA Bado HESHIMA ni kitu ambacho ni TUNU tulioachiwa na WAZAZI wetu
 
Walimu waliokuwa wanamark mitihani ya taifa ya form four 2023 kituo cha korogwe ttc mpaka Leo hawajalipwa pesa zao ilihali huku kote wamepewa. Wakidai hizo pesa wanatishiwa kufukuzwa kazi. Wanaambiwa ole wenu mpaze sauti tutawafukuza kazi muone kitaa kulivyo kugumu View attachment 2863608
Hao ata wasilipwe. Wanatumika kuiba kura kwenye uchaguzi, ndio vimbelembele wa CCM. Yani warushwe tu. Hakuna namna.
 
Yap dogo anafanyakazi nzuri
Ila Ana kauri CHAFU na za HOVYO
Sio mara ya kwanza kufikisha jambo Kwa KAURI ZA KUKOSA heshima
hawezi kufikisha jambo Kwa uweledi
Na ukimuambia ukweli kuhusu Hilo
Wafuadi wake wanakushukia Kwa kasi ya mwewe
Na wewe ukionekana una hoja unakula BLOCK pia

KOSOA ila Kwa HESHIMA(kueshimiana) sisi ni WATANZANIA Bado HESHIMA ni kitu ambacho ni TUNU tulioachiwa na WAZAZI wetu
Ya Ben saa 8 yaweza kumpata.
Heshima ni muhimu sana.

Hao anaowaita Bata huwenda hata pesa hazijawafikia
 
Back
Top Bottom