Walimu waliokoe Taifa letu

Walimu waliokoe Taifa letu

KURUNZI-1

Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
19
Reaction score
0
Ualimu ni kada moja ambayo ikitumiwa vizuri itaweza ama kulinusuru taifa au kuliangamiza kabisa. Watu wa kada hii(walimu) wapo karibu sn na jamii kubwa ya wananch ambapo kwa kiasi kikubwa huwa wanaaminiwa kwao. Rai yangu kwa walimu ni kuwa wafanye kaz yao ipasavyo ikiwa ni pamoja na kuufunua ukweli juu ya kiongoz au mtu yeyote asiyekuwa na mapenz mema na Taifa letu. Tetesi za kwamba wanapuuzwa na kuonewa waziweke kando ili tuirudishie nchi yetu hadh yake. Chonde chonde walimu wajengeeni raia maadili mema, Tanzania ni ya kwetu wote.
 
Hata wew huna nia nzuri na walimu, pigana wapewe haki yao kwanza ndio useme hayo
 
Ualimu ni kada moja ambayo ikitumiwa vizuri itaweza ama kulinusuru taifa au kuliangamiza kabisa. Watu wa kada hii(walimu) wapo karibu sn na jamii kubwa ya wananch ambapo kwa kiasi kikubwa huwa wanaaminiwa kwao. Rai yangu kwa walimu ni kuwa wafanye kaz yao ipasavyo ikiwa ni pamoja na kuufunua ukweli juu ya kiongoz au mtu yeyote asiyekuwa na mapenz mema na Taifa letu. Tetesi za kwamba wanapuuzwa na kuonewa waziweke kando ili tuirudishie nchi yetu hadh yake. Chonde chonde walimu wajengeeni raia maadili mema, Tanzania ni ya kwetu wote.
Wewe mwenyewe Profession yako ni ipi?
 
Ualimu ni kada moja
ambayo ikitumiwa vizuri itaweza ama kulinusuru taifa au kuliangamiza
kabisa. Watu wa kada hii(walimu) wapo karibu sn na jamii kubwa ya
wananch ambapo kwa kiasi kikubwa huwa wanaaminiwa kwao. Rai yangu kwa
walimu ni kuwa wafanye kaz yao ipasavyo ikiwa ni pamoja na kuufunua
ukweli juu ya kiongoz au mtu yeyote asiyekuwa na mapenz mema na Taifa
letu. Tetesi za kwamba wanapuuzwa na kuonewa waziweke kando ili
tuirudishie nchi yetu hadh yake. Chonde chonde walimu wajengeeni raia
maadili mema, Tanzania ni ya kwetu wote.

Nenda ukafundishe wewe,acha ngonjera zako wewe.!UMETUMWA...?
 
Wewe ni mzima kweli? yaan walimu wanadai haki serikali inaenda mahakaman badala ya kukaa meza moja,Ok tutakuna 2015.
 
Ualimu ni kada moja ambayo ikitumiwa vizuri itaweza ama kulinusuru taifa au kuliangamiza kabisa. Watu wa kada hii(walimu) wapo karibu sn na jamii kubwa ya wananch ambapo kwa kiasi kikubwa huwa wanaaminiwa kwao. Rai yangu kwa walimu ni kuwa wafanye kaz yao ipasavyo ikiwa ni pamoja na kuufunua ukweli juu ya kiongoz au mtu yeyote asiyekuwa na mapenz mema na Taifa letu. Tetesi za kwamba wanapuuzwa na kuonewa waziweke kando ili tuirudishie nchi yetu hadh yake. Chonde chonde walimu wajengeeni raia maadili mema, Tanzania ni ya kwetu wote.

Ndugu unachosema ni kweli kabisa walimu wakiamua kujenga Taifa lililo imara wanaweza kabisa na wakiamua kuliangamiza wanaweza pasipo shaka lolote tatizo Serikali inajifanya kutojua hilo wakati inajua kinacho endele baada ya miaka 10 ijayo Tanzania litakuwa taifa la ma mbumbumbu watawala wetu hawajali et kwa sababu tu watoto wao wanasoma nje au shule za st.:: hebu ishauri serikali ibadilike iokoe taifa linalo angamia
 
Kweli ww ni kurunzi....nani awezaye kufanya kazi na njaa?? Serikal yako ya ccm iliyoku2ma si ndo inatupeleka mahakaman baadala ya kuboresha maisha yetu. 2nafanya kazi kwenye mazngira magum,umeme wala maji hakuna, makaz duni,mlo duni, vitendea kaz duni, mishahara ambayo ndo inge2fariji kw masikitko makubwa ndo kiduchu kupta maelezo. THEN NDO UNAKUJA KUTUBEZA ETI TUJENGE JAMII....Muta edit matokeo hadi mukome.
 
Back
Top Bottom