Walimu waandamana Lushoto

Walimu waandamana Lushoto

Bora hata huyo mkurugenzi wao kajaribu kuwaibia kuliko huyu wa kwetu kinondoni aliyezikalia zote tangu january. Ni simanzi na huzuni kwa kweli kwani hilo lidibuana linalojiita cwt limekalia politic tu na kuchukua michango ya walimu wetu.
Hivi hatuwezi kuamua kwa umoja wetu kujitoa?
Na hao mawaziri wenye dhamana wapo tu hawatoi hata tamko la kukemea uvunjaji huu wa sheria za ajira.
 
Mie naona bora chama cha walimu kirubusiwe kutoa mgombea tu ili akatetee maslahi yao.
 
Hahaaa Nimesoma Hio wilaya asee, Pole zao Japo, walinishindisha Vichakani
 
Mi nafarijika nikisikia hivyo.
Kwakua tukisema dereva mbovyu tunatukanwa na kuitwa wauza ngada. Wacha ziishe za kirumi waanza za kichina.
 
Back
Top Bottom