Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,367
- 100,408
Mpwa huwezi kubarikiwa na kila neno, yaani taarifa nzima ya huzuni unataka ikubariki??Mtoa mada naona umetoa mada kwa uchochezi. Mm kwa mtazamo wangu, hayo maneno uliyomalizia wala sijabarikiwa nayo
Mtoa mada naona umetoa mada kwa uchochezi. Mm kwa mtazamo wangu, hayo maneno uliyomalizia wala sijabarikiwa nayo
Kwetu huko
Mshana jr: naomba nikufahamuKwetu huko
Poa hilo jina linafanana na pale ngujini njia ya kwenda kialilo kupitia shimoniMshana jr: naomba nikufahamu