Wanafunzi wa karne hii baadhi yao vichekesho, Mwanafunzi tena wa chuo kwenye dunia hii ya utandawazi unalalamika mwalimu kutofundisha au kutokuwa na mpangilio?
Internet ipo, learning sites zipo nyingi vitabu ndio usiseme lakini bado unalalama tu ambae ana changamoto za kielimu asemaje?
Aisee kazi ipo kwa style hii.
yule mwanafunzi wa la 4 B kule Nangurukuru/Namtumbo/Nanjilinji ndanindani mwenye changamoto za kielimu asemaje.