Fukua
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 546
- 479
Wakati mishahara yao haitoshi hata kununulia juisi, Bado wanakatwa makato ya kinyonyaji na Hilo chama lao la cwt, Kodi ni kubwa kwao, mbaya zaidi ni madeni makubwa kwenye mabanki kwa riba kubwa.
Bila elimu nzuri hili taifa halitopata maendeleo kamwe na waalimu ndio wafuta ujinga adui mojawapo wa taifa letu.
Serikali chini ya raisi wetu mwema tunakuomba muwalipie waali baadhi ya madeni yao au kuwasamehe kabisa.
Kwani wanafundisha wakiwa na misongo ya madeni hivyo kuathiri ujifunzaji wa watoto.
Hili linawezekana serikali ikiwa na Nia. Waalimu ni watumishi wazuri wa chama na serikali wafikirieni.
Ahsante mama Samia kwa uchapa kazi wako uliotukuka, wewe ni mskivu na mwenye huruma.