youngprofesor-
Member
- May 5, 2022
- 19
- 37
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Physics
Chemistry
Biology
Mathematics
Sio makalio kwamba kila mtu anayo.
Wanafunzi wana fail wenyewe kwa uzembe wao.
Duuuh, umetumia lugha ngumuPhysics
Chemistry
Biology
Mathematics
Sio makalio kwamba kila mtu anayo.
Wanafunzi wana fail wenyewe kwa uzembe wao.
Sijakataa, ila kwa kiasi kikubwa inachangiwa na wanafunzi husika kutokuwa makini au ari kwa masomo ya sayansi, na unajua sayansi haitaki mbambamba imenyooka km rulaaa, ukileta blah blah inakuangusha dkk 0 tyuuh.Fundisheni watoto hizi hoja zenu zinafanya muwe wazembe na kufail ioneka e kawaida
Boraa usemee wee, wanafunzi wako buzzy kudanga, kuvuta sigara, kubet, kutazama mpira, kucheza PS, mda wa kusolve chem na phys hanaa, maths ndo kabisaa hawagusi tena wanakuambia "maths husomi wala husolve inakuja automatically " afu utegemee wafaulu?mwalimu anayefundisha shule hizi za kata amekuelewa sana,,watoto wanaendekeza sana michezo,,ili wasome wanahitaji mkono wa chuma,,ukiwabinya ili wasome wazazi wanakuja juu,,viongozi wanakuja juu kwa mgongo wa haki za binadamu..
Wanasahau kuwa hakuna mwalimu kichaa anayeweza kutoka nyumbani kwake kwenda kuadhibu watoto wakitanzani bika sababu ya msingi.
Nilipoajiriwa nilikaa mwaka mzima simuwahi adhibu mtoto kwa kuwa nili amini ushauri na nasaha na kuwatia moyo pamoja kuwa inspire kunatosha sana kwa watoto kutekeleza wajibu wao wamsingi.
Baada ya muda nikagundua nilikuwa najidanganya maana ni asilimia ndogo tu ya watoto walinielewa wengi walianza kuniona dhaifu kila nikitoa oda watoto wengi hawatekelezi,,
Nikaamua kubadili muelekeo kwanza naanza kwa kuwelekeza nini wafanye na nini wasifanye wakienda tofauti wanakutana na mkono wa chuma,,ofcoz mambo yalikuwa yanaenda kwelikweli,,mpaka mkui wa shule ananiita ofisini kunipongeza.
Ila sasa ukikosea kidogo wazazi,,viongozi wanakuja juu,,inakatisha tamaa nishawahi semeshana vibaya na afisa elimu kisa utoaji wa adhabu,,nilijiuliza maswali mengi sana ,,na mwisho nikafanya maamuzi.
N.B mwalimu anapokosea mazuri yake yote yanafutika kwa msingi huu,,idadi kubwa ya wanafunzi ambao wangeweza kuokolewa wanaangamia walimu wengi wameamua kuwa reluctant.Kama kuna kiongozi wa elimu halijui hili basi uteuzi wake ulikosewa.
Futa huu upuuzi mimi sio mwalimuHaya Leo nimeona mwalimu mpwayungu
Amesoma na ame elewa pia.[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
ungeandika kwa herufi kubwa asome vizuri
Ndo vizuri iwaingie haswaaaa.Duuuh, umetumia lugha ngumu
Hayo masomo ukiwa na msingi mbaya hautoboi yatakusumbua sanaPhysics
Chemistry
Biology
Mathematics
Sio makalio kwamba kila mtu anayo.
Wanafunzi wana fail wenyewe kwa uzembe wao.
πππππππWanafunzi wakifaulu hamsemi walimu wanafundisha vizuri, mnasema wanafunzi wana akili ila wakifeli sasa utasikia walimu hawafundishi
Hata makalio kuna watu hawanaPhysics
Chemistry
Biology
Mathematics
Sio makalio kwamba kila mtu anayo.
Wanafunzi wana fail wenyewe kwa uzembe wao.
Angalau Sangu Sec wanajikokota, shule ya Meta ilianza kuporomoka mwaka 2015 kwenye matokeo ya Kidato cha Sita. Labda wapatikane walimu kama LandView attachment 2471877ukisema wazazi hawapeki kwenye bure ebu niambie shule kama hii wenye uelewa anajua mda ule elimu si bure idadi ya watoto ilikuwa ampaka mia saba sasa elimu bure angali hiyo ni META SEC ipo mbeya shule kongwe na marufu nchi hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata makalio kuna watu hawana
Marefu Yana ncha meta ya wanafunzi mia tano Leo hii hata wanafunzi mia haifikishiAngalau Sangu Sec wanajikokota, shule ya Meta ilianza kuporomoka mwaka 2015 kwenye matokeo ya Kidato cha Sita. Labda wapatikane walimu kama Land
Hao walimu unaowalaumu wapo? Isije kuwa hiyo shule Haina walimu au Ina upungufu mkubwa wa walimu wa SayansiNiende moja kwa moja kwenye mada walimu wa masomo ya sayansi ebu angalieni ufauru wa matokeo ya wanafunzi kidato cha pili arafu mkae chini mjitathimi maana haiingii akilini mtoto wa kidato cha pili anaepata A somo la kingereza arafu anapata F somo la Biology au Chemistry kidato cha pili kweli hampo serious zile kelele zenu sijui watoto hawafundishiki hamna uyu mtoto kajuache kusoma na kuandika kama afundishiki
Hii kasumba ya masomo ya sayansi magumu tuache wajibikeni mbona zamani haikuwa hivi tulizoea kuona hayo mambo somo la hesabu tu tena kidato cha nne ila sasa mambo yamekuwa tofauti physics shida, Biology shida, Chemistry shida hapana kuna uzembe hapa kidato cha pili yani kidato cha pili mtoto anashindwa fauru Biology au Chemistry are you serious?
NICHOMEKEE NA HILI PIA
Ukija kwenye somo la CIVCS napo huu ni ujingaa wa wataaluma kuamini kila mwalimu anaweza fundisha CIVICS matokeo yake ndio hayo nayo somo linafanya vibaya wakati zamani somo hilo kila mwanafunzi alifauru sababu lilifundishwa na walimu mahiri wa somo husika leo hii mwalimu wa kiswahili anaenda fundisha CIVICS kweli