REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,451
- 9,375
Boss walimu wapo sema walimu wa masomo ya sayansi wana ujinga kuwa masomo yao magumu kwaiyo mtoto kuferi wameanza kuona kawaida inabidi wasimamiwe waachie hizo kasumbaCCM wameua elimu,hawataki kuajiri walimu shule ya kata inamwalimu 1 wa sayansi Sasa mtoa mada hujui haya matatizo yenu au uhuni tu
Hakuna shule ya kata haina mwalimu wa sayansi serikali hii miaka muwili imewapangia walimu moja kwa moja shule kutokana na uhitaji na tarifa zilizopo Tamisemi kwaiyo kama kuna shule haina mwalimu wa somo la sayansi wakuanza ulizwa ni afisa elimu na mkuu wa shule uyo mwalimu kaenda wapi maana hawaruhusiwi kuhama hao walimuCCM wameua elimu,hawataki kuajiri walimu shule ya kata inamwalimu 1 wa sayansi Sasa mtoa mada hujui haya matatizo yenu au uhuni tu
Sawa ,Sasa kuanzia form one hadi 4 mwalimu wa sayansi ni mmoja Unategemea matokeo yawe mazuri?Haya Leo nimeona mwalimu mpwayungu anasema walimu wamekwenda kusahisha kutoka mtwara hadi shinyanga na wamelipwa 520000 hivi Unategemea mwalimu atakuwa na uzalendo upi wa kufundisha! Tuendelee kwenye hiyo mada wamesema walimu walioenda semina za mitihani hawalipwi kulingana na muongozo wa serikali ,yaani halmashauri wanaamka asubuhi Leo tutalipaa ELFU 30000 Unategemea huyu mwalimu atakuwa mzalendo!Hakuna shule ya kata haina mwalimu wa sayansi serikali hii miaka muwili imewapangia walimu moja kwa moja shule kutokana na uhitaji na tarifa zilizopo Tamisemi kwaiyo kama kuna shule haina mwalimu wa somo la sayansi wakuanza ulizwa ni afisa elimu na mkuu wa shule uyo mwalimu kaenda wapi maana hawaruhusiwi kuhama hao walimu
Soma hiiNiende moja kwa moja kwenye mada walimu wa masomo ya sayansi ebu angalieni ufauru wa matokeo ya wanafunzi kidato cha pili arafu mkae chini mjitathimi maana haiingii akilini mtoto wa kidato cha pili anaepata A somo la kingereza arafu anapata F somo la Biology au Chemistry kidato cha pili kweli hampo serious zile kelele zenu sijui watoto hawafundishiki hamna uyu mtoto kajuache kusoma na kuandika kama afundishiki
Hii kasumba ya masomo ya sayansi magumu tuache wajibikeni mbona zamani haikuwa hivi tulizoea kuona hayo mambo somo la hesabu tu tena kidato cha nne ila sasa mambo yamekuwa tofauti physics shida, Biology shida, Chemistry shida hapana kuna uzembe hapa kidato cha pili yani kidato cha pili mtoto anashindwa fauru Biology au Chemistry are you serious?
NICHOMEKEE NA HILI PIA
Ukija kwenye somo la CIVCS napo huu ni ujingaa wa wataaluma kuamini kila mwalimu anaweza fundisha CIVICS matokeo yake ndio hayo nayo somo linafanya vibaya wakati zamani somo hilo kila mwanafunzi alifauru sababu lilifundishwa na walimu mahiri wa somo husika leo hii mwalimu wa kiswahili anaenda fundisha CIVICS kweli
Uko sahihi sana,,hata kama tutajenga madarasa mengi kiasi gani na malumalu na vioo juu,,kama hatutaboresha maslahi ya walimu na kutengeneza mazingira bora ya wanafunzi kusoma mfano upatikanaji wa chakula cha uhakika mashuleni basi matokeo yatakuwa hayahaya miaka yote.Tujiulize kabla ya elimu kuwa bure ilikuwaje,na baada ya elimu kuwa bure imekuwaje?
Vya bure siyo?
Hata walimu wenyewe hawapeleki watoto wao kwenye bure.
Tujiulize kabla ya elimu kuwa bure ilikuwaje,na baada ya elimu kuwa bure imekuwaje?
Vya bure siyo?
Hata walimu wenyewe hawapeleki watoto wao kwenye bure.
Tujiulize kabla ya elimu kuwa bure ilikuwaje,na baada ya elimu kuwa bure imekuwaje?
Vya bure siyo?
Hata walimu wenyewe hawapeleki watoto wao kwenye bure.
Fundisheni watoto hizi hoja zenu zinafanya muwe wazembe na kufail ioneka e kawaidaPhysics
Chemistry
Biology
Mathematics
Sio makalio kwamba kila mtu anayo.
Wanafunzi wana fail wenyewe kwa uzembe wao.
mwalimu anayefundisha shule hizi za kata amekuelewa sana,,watoto wanaendekeza sana michezo,,ili wasome wanahitaji mkono wa chuma,,ukiwabinya ili wasome wazazi wanakuja juu,,viongozi wanakuja juu kwa mgongo wa haki za binadamu..Physics
Chemistry
Biology
Mathematics
Sio makalio kwamba kila mtu anayo.
Wanafunzi wana fail wenyewe kwa uzembe wao.
mwalimu wa daraja E analipwa 990,000/= bila makato hana posho mwenzi mzima,,unafikiri ataacha kutafuta hata bodboda kujiongezea kipato? hapo viongozi wanataka ufundishe remidial bure kwakisingizio cha elimu bure ila wakuu wanapewa posho na wanakomaa walimu kufundisha remedial bure,,ni suala la muda tu kama hakutakuwa na marekebisho basi tutegemee anguko kubwa sana la elimu huko mbele.Walimu wengi ni bodaboda. Serikali iwaongezee mishahara ili kukidhi mahitaji na kwendana na kazi yao ngumu kufundisha mtoto hadi ajitambue na kuwa mjuzi/mtaalam wa fani fulani. Baada ya mishahara kuboreshwa basi wabanwe hasa na wachape kazi. NECTA nao watoe kile anachopata mtoto-standardization iwe mwisho ITV