Sipati picha. Wanataaluma wa chuo kikuu wanataka kuingia CWT kwani wao ni waalimu? Mimi ninachojuwa, wanataaluma wa Chuo kikuu wanaitwa wahadhiri, na misingi ya ajira yao ni tofauti, na matatizo yao ni tofauti na wanchama wa CWT. Hata hivyo, wahadhiri hawahitaji chama cha wafanyakazi, (Collective bargain). Shida zao huwa zinaishia juju kwa juu. CWT bwana, inaleta mambo ya mwaka 47 kwenye karne mpya.