TUCTA+CWT=CCM
Sina uhakika kama kweli wewe ni mwalimu, labda ni mwalimu wa kuvuliwa chupi usiku manake hakuna mwalimu mwenye akili za kijinga kama wewe dunia hii, hivi wewe na hao unaowapigia kura ni nani mwenye vyanzo vingi vya mapato!! na bado husikii walalama bungeni kuhusu kuongezea posho?? halafu kwa taarifa yako mimi sio mjinga kama wewe na wala usifikirie na hako kamshahara kako kama unaweza kunifikia mm na hata uwe una mashamba ya mpunga huko kwenu itabidi usubiri sana mpaka kuja kufikia level zangu, ila nina uchungu sana na walimu kwasababu wao ndo walionifikisha hapa nilipo...badilika wewe mwalimu au ulipaka kaz kwa kutoa rushwa ya ngono!!!?
nyani ni nyani tu! Hata afanyeje hawezi kuwa mbuzi,paka ni paka tu hawezi kuwa sungura, pole yako kima wewe ulie ajiriwa kwa kazi rasmi ya kuipamba ccm kwa kuvaa mavazi ya rangi tofauti tofauti, kwanza huna sifa za kuwa kwenye kundi lolote lile la wapenda haki.
nyani ni nyani tu! Hata afanyeje hawezi kuwa mbuzi,paka ni paka tu hawezi kuwa sungura, pole yako kima wewe ulie ajiriwa kwa kazi rasmi ya kuipamba ccm kwa kuvaa mavazi ya rangi tofauti tofauti, kwanza huna sifa za kuwa kwenye kundi lolote lile la wapenda haki.
-------- wewe mwenye tamaa ya mbwa kulala nje kutegemea pua.Siji chagadema ngoo tukana umalize matusi yote duniani,sishawishiwi na wajingawajinga kama wewe,CCM Oyee.
Halafu we mama, hii topic umeivalia njuga unatukana watu si mchezo. Sasa nimeanza kuamini watu wengi walio na upeo mdogo, waliofeli elimu na waliofeli maisha ndo walimu wa Tanzania. Mi naanza kuamini huko kwenu wapo watu (labda na we ni mmoja wao) wanaoamini mpaka leo Mkapa bado rais. Na kwasababu Nkapa katoka huko Nanyamba, basi nyi CCM oyee tu.
Inauma sana watoto wetu kufundishwa na watu wajinga wajinga kama wewe.
Zamda Geuka mimi nilisoma sabasaba.
nimeishi sabasaba nyumba ya Gapex nimesoma mt tech.Sabasaba mwaka gani? Enzi
ya mwl Fadhili,Basha,Nyengedi,Nandonde,Mpepo huku Head Master
Mwakalasya?? Tujuzane basi.
nimeishi sabasaba nyumba ya Gapex nimesoma mt tech.
Mule mule mkuu nimemaliza 2003 na kina brigedia tewa,mandoa,napinda,manase big popa,enzi za kina mwalimu fadhili,chogogwe,nandonde,namchambe,mama majaliwa chini ya uongozi wa mwakalasya mfalme juha ha ha ha.Sabasaba mwaka gani? Enzi ya mwl Fadhili,Basha,Nyengedi,Nandonde,Mpepo huku Head Master Mwakalasya?? Tujuzane basi.
Mule mule mkuu nimemaliza na kina brigedia tewa,mandoa,napinda,manase big popa,enzi za kina fadhili,chogogwe,nandonde,namchambe,mama?ajaliwa chini ya uongozi wa mwakalasya mfalme juha ha ha ha.
halafu we baba ulitaka mtu anitukane nimsikilizie tu,,ye nani?ukiona mtu anamjibu mjinga ujue ye ni mjinga mara mbili.
Namkumba sana tu,nyie ndio mmemaliza na kina imani kikuli kama sijakosea jina,kina abel musyani,yule binti wa mzee shaibu bashiru mzuri mzuri hivi yuko wapi siku hizi?Aha haahaaa naona ulinitangulia mwaka m1, Hamis Mpwago unampata??
Aha haahaaa naona ulinitangulia mwaka m1, Hamis Mpwago unampata??
Namkumba sana tu,nyie ndio mmemaliza na kina imani kikuli kama sijakosea jina,kina abel musyani,yule binti wa mzee shaibu bashiru mzuri mzuri hivi yuko wapi siku hizi?
odale yuko wapi namtafuta huyu jamaa,muba,munibu,timothy mbungani,rahim wako wapi hawa vijana?