Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,407
kuacha sio tija,dawa ni kuwaibia muda wao unapiga mishe zako,mimi sina shida nao nakomaa na ualimu na mambo yangu yanaenda kama kawaida,....kma una hitaji mbao(mti wa griveria) kwa bei ya jumla ni pm niko lushoto.
Nina imani hata huo ualimu ulionao ulipata baada ya kuvuliwa chupi manake mtu aliyepambana kutafuta kazi kihalali hawezi kukubali kudhurumiwa haki yaki na watu fulani halafu akabaki anakenua meno tu!!Kamaunauchungu kajifungue au nijenikuzalishe?Kufundisha tufundishe sisi uchungu upate wewe?kweli ushoga mbaya.Ngoma si yako waivalia kibwebwe,,,
Usipopigania haki yako mwenyewe hakuna ambaye atahangaika na wewe. Ndugu walimu wenzangu hasa vijana maana wazee hawawezi kutuunga mkono wengi wao age yao ni 50 na kuendelea tgts zao ni e. Tukutane bungeni hapo tarehe 29 walimu wote vijana na cwt wadhamini magari ya usafiri kutoka wilayani tukadai haki zetu dom. Hii serikali inabeep kwetu na ndo maana imetoa mishahara kwa baadhi ya walimu. Kenya wameweza hata tz walimu vijana tunaweza tupiganie haki zetu bila kumsubiri mkoba, ccm wala cdm maana wanaelewa matatizo yetu miaka yote lakini hakuna anaeonesha kushitushwa. Shime cwt tulipieni mabasi kutoka kila pembe ya tz ili walimu vijana tukalete mabadiliko ktk hii nchi. Cwt kwa mwezi mnatuka hela walimu wote mamia ya mamilion ambayo mwal4mu hana hata chembe ya manufaa, onesheni ushirikiano wenu.
Hahahahaha huo ni wizi, unapolipwa kwa kazi usiofanya ni wizi
Nina imani hata huo ualimu ulionao ulipata baada ya kuvuliwa chupi manake mtu aliyepambana kutafuta kazi kihalali hawezi kukubali kudhurumiwa haki yaki na watu fulani halafu akabaki anakenua meno tu!!
wewe dada mbona kama nakujua? tulisoma wote kidato kimoja eeh?
bangi mbaya sana. Mwalimu mwenyewe ni wa voda fasta
Account ya Lumumba imeongezwa Tshs 7,000.
Usipopigania haki yako mwenyewe hakuna ambaye atahangaika na wewe. Ndugu walimu wenzangu hasa vijana maana wazee hawawezi kutuunga mkono wengi wao age yao ni 50 na kuendelea tgts zao ni e.
Tukutane bungeni hapo tarehe 29 walimu wote vijana na cwt wadhamini magari ya usafiri kutoka wilayani tukadai haki zetu dom. Hii serikali inabeep kwetu na ndo maana imetoa mishahara kwa baadhi ya walimu. Kenya wameweza hata tz walimu vijana tunaweza tupiganie haki zetu bila kumsubiri mkoba, ccm wala cdm maana wanaelewa matatizo yetu miaka yote lakini hakuna anaeonesha kushitushwa.
Shime cwt tulipieni mabasi kutoka kila pembe ya tz ili walimu vijana tukalete mabadiliko ktk hii nchi. Cwt kwa mwezi mnatuka hela walimu wote mamia ya mamilion ambayo mwal4mu hana hata chembe ya manufaa, onesheni ushirikiano wenu.
Hahahahaha huo ni wizi, unapolipwa kwa kazi usiofanya ni wizi
katka watu nawachukia na sipendi hata kuwasikia ni CWT wapuuzi sana wapn pale kwajil ya kuisaidia serkal kuwnyonya walm
Acha upungufu wa akili,mawazo ya kijinga unayo wewe,mimi mwalimu sio muoga najiamini ukiona mtu analialia ujue hana chanzo kingine cha mapato,we unakaa duniani unategemea mshahara??nakura yangu CCM mwakani sijaona chama cha kukipigia kura zaidi ya CCM,usilete uhuni wa kila mtu apende unachopenda wewe,,we NANI??
Acha upungufu wa akili,mawazo ya kijinga unayo wewe,mimi mwalimu sio muoga najiamini ukiona mtu analialia ujue hana chanzo kingine cha mapato,we unakaa duniani unategemea mshahara??nakura yangu CCM mwakani sijaona chama cha kukipigia kura zaidi ya CCM,usilete uhuni wa kila mtu apende unachopenda wewe,,we NANI??
hawa CWT nime wakwepa na mpaka leo hawanikati na wakianza kunikata nawapeleka mahakamani kwani kisheria kujiunga na vyama vya wafanyakazi ni hiari ya mtumishi.