mkuu nimecheka kitu kimoja,anaedai haki hafanyi kama ww. We mwalim gani eti unaomba ulipiwe nauli tena ya kwenda dodoma?oh cwt tulipieni mabasi mh kwanini usitumie kidogo ulichonacho kutaftia haki yako? Manake cwt wasipoleta mabasi haki yako hudai tena? Hapo tu nshajua hujitambui kaa kimya tu
Huu ni ushauri,wito,au ni tamko ndugu yetu
Usipopigania haki yako mwenyewe hakuna ambaye atahangaika na wewe. Ndugu walimu wenzangu hasa vijana maana wazee hawawezi kutuunga mkono wengi wao age yao ni 50 na kuendelea tgts zao ni e. Tukutane bungeni hapo tarehe 29 walimu wote vijana na cwt wadhamini magari ya usafiri kutoka wilayani tukadai haki zetu dom. Hii serikali inabeep kwetu na ndo maana imetoa mishahara kwa baadhi ya walimu. Kenya wameweza hata tz walimu vijana tunaweza tupiganie haki zetu bila kumsubiri mkoba, ccm wala cdm maana wanaelewa matatizo yetu miaka yote lakini hakuna anaeonesha kushitushwa. Shime cwt tulipieni mabasi kutoka kila pembe ya tz ili walimu vijana tukalete mabadiliko ktk hii nchi. Cwt kwa mwezi mnatuka hela walimu wote mamia ya mamilion ambayo mwal4mu hana hata chembe ya manufaa, onesheni ushirikiano wenu.
Sina uhakika kama kweli wewe ni mwalimu, labda ni mwalimu wa kuvuliwa chupi usiku manake hakuna mwalimu mwenye akili za kijinga kama wewe dunia hii, hivi wewe na hao unaowapigia kura ni nani mwenye vyanzo vingi vya mapato!! na bado husikii walalama bungeni kuhusu kuongezea posho?? halafu kwa taarifa yako mimi sio mjinga kama wewe na wala usifikirie na hako kamshahara kako kama unaweza kunifikia mm na hata uwe una mashamba ya mpunga huko kwenu itabidi usubiri sana mpaka kuja kufikia level zangu, ila nina uchungu sana na walimu kwasababu wao ndo walionifikisha hapa nilipo...badilika wewe mwalimu au ulipaka kaz kwa kutoa rushwa ya ngono!!!?Acha upungufu wa akili,mawazo ya kijinga unayo wewe,mimi mwalimu sio muoga najiamini ukiona mtu analialia ujue hana chanzo kingine cha mapato,we unakaa duniani unategemea mshahara??nakura yangu CCM mwakani sijaona chama cha kukipigia kura zaidi ya CCM,usilete uhuni wa kila mtu apende unachopenda wewe,,we NANI??
Huna hela wewe kibaka,mshahara wa mwlimu unakuhusu nini??acha kiherehere utapumuliwa,CCM juu.***** wewe.Sina uhakika kama kweli wewe ni mwalimu, labda ni mwalimu wa kuvuliwa chupi usiku manake hakuna mwalimu mwenye akili za kijinga kama wewe dunia hii, hivi wewe na hao unaowapigia kura ni nani mwenye vyanzo vingi vya mapato!! na bado husikii walalama bungeni kuhusu kuongezea posho?? halafu kwa taarifa yako mimi sio mjinga kama wewe na wala usifikirie na hako kamshahara kako kama unaweza kunifikia mm na hata uwe una mashamba ya mpunga huko kwenu itabidi usubiri sana mpaka kuja kufikia level zangu, ila nina uchungu sana na walimu kwasababu wao ndo walionifikisha hapa nilipo...badilika wewe mwalimu au ulipaka kaz kwa kutoa rushwa ya ngono!!!?
Sina uhakika kama kweli wewe ni mwalimu, labda ni mwalimu wa kuvuliwa chupi usiku manake hakuna mwalimu mwenye akili za kijinga kama wewe dunia hii, hivi wewe na hao unaowapigia kura ni nani mwenye vyanzo vingi vya mapato!! na bado husikii walalama bungeni kuhusu kuongezea posho?? halafu kwa taarifa yako mimi sio mjinga kama wewe na wala usifikirie na hako kamshahara kako kama unaweza kunifikia mm na hata uwe una mashamba ya mpunga huko kwenu itabidi usubiri sana mpaka kuja kufikia level zangu, ila nina uchungu sana na walimu kwasababu wao ndo walionifikisha hapa nilipo...badilika wewe mwalimu au ulipaka kaz kwa kutoa rushwa ya ngono!!!?
bangi mbaya sana. Mwalimu mwenyewe ni wa voda fasta
Huna hela wewe kibaka,mshahara wa mwlimu unakuhusu nini??acha kiherehere utapumuliwa,CCM juu.***** wewe.
akili ndogo tabu kweli, ccm juu for wat?
Nitoke tunduru mpaka dodoma!! haki gani hiyo? acha aende yeye akatuwakilishe.
Acha ualimu tu ndio dawa yake