Walimu shule ya msingi Mbezi juu Dar es salaam wanadhulumu wanafunzi

Pamoja katika sera za Wizara ya elimu kutoa tamko hakuna mtoto kumlipisha pesa za tuition, lakini shule hii mtoto kila siku lazima aende na sh, 2,000/ sh. 300 iyo quick test. 200 ya uji. 300 ya mtihani wa mchana. 500 ya masomo ya ziada jioni hata hivyo wanapewa maswali tu alafu wanabadilishana karatasi wanasahishana.

Mtoto hajala mchana, hapo hapo kuna siku za ijumaa mtihan sh. 1500 hadi 2000.

Walimu anachukua mkopo akitegemea marejesho kwa wanafunzi halafu mtoto akikosa viboko wakati iyo pesa anapewa na mzazi wake, kwa kweli hii hali afadhali ya shule za private.

Ukitoa pesa mtoto anasoma hadi mwisho.

Wakuu wa elimu naomba ilo mlione.

We ni Jinga la Mwisho duniani Usikurupuke tu na kuanza kudharirisha Walimu kisa mia 300 ambayo pengine hujawahi hata kuchangia
 
Huu ni uzushi usiokubalika ktk jamii hii. Mbezi juu wanasoma watoto wengi wa walalahoi. elfu mbili mara tano ni mwekundu mmoja. Mzazi anaemudu kutoa hii hela kwa wiki kwa nini asiende private gari limguate chumbani ? Walimu wa serkali sikivu ya ccm wanayo mishahara yao mikubwa tu halafu wengi wa Mbezi juu ni wake za mafisadi hawahitaji kuwaibia wtt. Siku nyingine fanya utafiti wa kutosha sio kuleta maneno ya mwanao anaekuibia. sawa dogo ?

Wewe lazima utakuwa mwalimu tu! ndo maana unapinga kwa buruji. BTW, Sm Gongolamboto jeshini mambo huwa yako hivi; kuanzia jumatatu hadi ijumaa kila mtoto hutakiwa kwenda na sh 500 kwa ajiuli ya speed test ya asubuhi na tution ya jioni, Darasa la saba hutakiwa kwenda kila jumamosi na sh, 1000 kwa ajili ya mitihani ya kushindanishwa na shule nyingine. Mwisho wa mwezi mtoto hulipa sh 2500 ya mlizi, na kila baada ya wiki mbili kuna ziara na mtoto hutakiwa kwenda na sh 17,000.

SASA TUPIGE HESABU:
Darasa la tano kuna watoto 150
1. Speed test na tuition kwa wiki moja = 150x500x5 = 375,000. kwa mwezi mmoja =Sh 1,500,000/=
2. Mitihani ya jumamosi = 1000 x 150=150,000. Kwa mwezi mmoja = Sh. 600,000/=
3. Gharama ya mlinzi = 2500x150 = 375,000
Jumla ye fedha zinazo kusanywa kutoka darasa moja kwa mwezi mmoja ni sh. 2,475,000/=

Hivi inamaana serikali (Manispaa) hazina bajeti ya gharama ya kuendesha shule za msingi?
Anayebisha juu ya mchanganuo huu, ani PM nimtumie risiti ya malipo ya walinzi na demand ya fedha za ziara. hizi nyinmgine hazina risiti.
 
Unashangaa leo? Toka watoto wangu wako shule ya msingi zaidi ya miaka sita iliyopita hiyo hela ya mitihani ipo,
wakati huo ilikuwa mia tano. Na lazima kila mtoto alipe, asipolipa anachapwa.
Hiyo ni sera ya waalim, baada ya kuona mishahara ni kiduchu nao wakaanzisha kibubu chao.
 
Gama. Mtu anaeweza kulipa milioni mbili kwa mwaka watoto wake wanasoma english medium tena boarding. FEZA wanalipa milioni hizo. na wanakiwango cha kimataifa. Kwanza wewe huna uwezo wa kulipa hizo mil mbili kwa mwaka. Otherwise wanao wangekua boarding na usingetoka povu hapa.
 
Achana nae anataka kuharibu ulaji wa watu tuu...kazi yenyewe haina posho, mnataka wenzenu wakale wapiii?

Halafu siku hizi walimu wa SM wana pesa...kumbe mchezo wenyewe ndo huuu....hongera zao...
 
Huu ni uzushi usiokubalika ktk jamii hii. Mbezi juu wanasoma watoto wengi wa walalahoi. elfu mbili mara tano ni mwekundu mmoja. Mzazi anaemudu kutoa hii hela kwa wiki kwa nini asiende private gari limguate chumbani ? Walimu wa serkali sikivu ya ccm wanayo mishahara yao mikubwa tu halafu wengi wa Mbezi juu ni wake za mafisadi hawahitaji kuwaibia wtt. Siku nyingine fanya utafiti wa kutosha sio kuleta maneno ya mwanao anaekuibia. sawa dogo ?

acha kutetea UFISADI. unataka walalahoi waendelee kukamuliwa hadi lini?
 
mkuu umelazimishwa kumpeleka mwanao pale kama hutaki si uache tu

wewe mburula acha kuropoka ovyo. mtu uache kula eti kwa sababu kuna wapuuzi fulani wametia sumu kwenye chakula? shame upon you, twit!
 
Kuwa muelewa mkuu, walimu wanafundisha partime na serikali haina hela ya kuwalipa hvyo ni jukumu la shule kukaa na wazazi kuangalia kwa jinsi gani watoto wanasoma huo muda wa ziada.

USHAHIDI
mimi ni mwalimu wa sekondari. yalipotoka matokeo ya form 2 mwaka huu wengi walifeli kiasi kwamba kwa wastani wa alama 30 kama utaratibu wa wizara kuna shule zingekosa wanafunzi form 3.

matokeo yalipokuja yaliambatana na waraka kuwa hadi waliopata alama 20 waendelee na kidato cha tatu.

wakati huo huo wanafunzi hao wapatiwe darasa rekebishi (remedial classes) kuwaweka sawa.

kutoka shule mwalimu ni saa 8 mchana.
darasa rekebishi ni kuanzia saa 8 hadi saa 12 jioni.
je mwalimu gani atakubali kubaki shule kufundisha mwanao bure??

Kumbuka serikali imetoa waraka tu bila kusema kwamba itawalipa walimu.

kilichofuata ni shule kukaa na wazaz na kwa hiyari yao wakakubali kuchangia.
HAKUNA BURE SIKU HIZI

kwani umeambiwa kwamba hiyo shule inayolalamikiwa WAZAZI WALISHIRIKISHWA?
 
Mpendwa, hayo malalamiko yako umeyapeleka kwenye vikao vya wazazi na walimu (Teachers parent meeting).

Hayo mambo uliyo yatolea malalamiko yameamuliwa tu au mliamua?

Pia, kumbuka, serikali imejitoa kutoa huduma nyingi za moja kwa moja katika shule zake, jukumu hilo wameachiwa wananchi wenyewe, so ukiona shida kumhudumia mwanao ili asome sawa maana "ukiona elimu ni ghari, jaribu ujinga"

Nakushauri.

1. Nenda kalalamike kwenye kikao cha walimu na wazazi.

2. Usipo ridhika, mhamishe mtoto wako aende shule za private.

3. Ukiona shida kwa hayo yote, endelea kukomaa hapo hapo.

NB. Ukifikiri juu ya kuwa na mtoto, fikiri jinsi ya kumhudumia pia.
 
Gama. Mtu anaeweza kulipa milioni mbili kwa mwaka watoto wake wanasoma english medium tena boarding. FEZA wanalipa milioni hizo. na wanakiwango cha kimataifa. Kwanza wewe huna uwezo wa kulipa hizo mil mbili kwa mwaka. Otherwise wanao wangekua boarding na usingetoka povu hapa.
Mnatoka mapovu hata hamsomi kilichoandklikwa. Mnatetea ujinga hata hamsomi kilichoandikwa. You are not worth to be GT.
 
Unashangaa leo? Toka watoto wangu wako shule ya msingi zaidi ya miaka sita iliyopita hiyo hela ya mitihani ipo,
wakati huo ilikuwa mia tano. Na lazima kila mtoto alipe, asipolipa anachapwa.
Hiyo ni sera ya waalim, baada ya kuona mishahara ni kiduchu nao wakaanzisha kibubu chao.

sasa wewe KENGE ina maana unahalalisha huo UFISADI wa walimu? notorious twit!
 
Mnatoka mapovu hata hamsomi kilichoandklikwa. Mnatetea ujinga hata hamsomi kilichoandikwa. You are not worth to be GT.

Ulikua unaona raha kuzaa zaa bila mpangilio. sasa hata shule za kayumba unaona unaibiwa. Umeambiwa serkali yako sikivu inatoa sh ngapi kumhudumia mtt wa SM ? UKWELI ni kwamba haitoi. walimu wanashinda na njaa kuwaonesha dunia ilivyo watoto wako wewe unaona gharama. wahamishie kwingine unakoona watasoma bure. ANGALIZO.. ELIMU YA NYOTA YA KIJANI HUTOLEWA BURE.
 
Gama. Mtu anaeweza kulipa milioni mbili kwa mwaka watoto wake wanasoma english medium tena boarding. FEZA wanalipa milioni hizo. na wanakiwango cha kimataifa. Kwanza wewe huna uwezo wa kulipa hizo mil mbili kwa mwaka. Otherwise wanao wangekua boarding na usingetoka povu hapa.

Rudia nilicho andika kisha ndo uanze kujigamba na kuwatambia wengine kuwa hawawezi kulipa sh 2mil, contribution yako kwenye hili yaonesha hujaenda jando
SASA TUPIGE HESABU:
Darasa la tano kuna watoto 150
1. Speed test na tuition kwa wiki moja = 150x500x5 = 375,000. kwa mwezi mmoja =Sh 1,500,000/=
2. Mitihani ya jumamosi = 1000 x 150=150,000. Kwa mwezi mmoja = Sh. 600,000/=
3. Gharama ya mlinzi = 2500x150 = 375,000
Jumla ye fedha zinazo kusanywa kutoka darasa moja kwa mwezi mmoja ni sh. 2,475,000/=

Hivi inamaana serikali (Manispaa) hazina bajeti ya gharama ya kuendesha shule za msingi?
Anayebisha juu ya mchanganuo huu, ani PM nimtumie risiti ya malipo ya walinzi na demand ya fedha za ziara. hizi nyinmgine hazina risiti.
 
Ulikua unaona raha kuzaa zaa bila mpangilio. sasa hata shule za kayumba unaona unaibiwa. Umeambiwa serkali yako sikivu inatoa sh ngapi kumhudumia mtt wa SM ? UKWELI ni kwamba haitoi. walimu wanashinda na njaa kuwaonesha dunia ilivyo watoto wako wewe unaona gharama. wahamishie kwingine unakoona watasoma bure. ANGALIZO.. ELIMU YA NYOTA YA KIJANI HUTOLEWA BURE.

Mda uliotumia shuleni ni bora ungeutumia kunywa gongo maana hujui hata kusoma. Poor you.
 
-Hayo ndo matokeo makubwa sasa(BRN)
-Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake (marupurupu ya mwl.)
 
wewe mburula acha kuropoka ovyo. mtu uache kula eti kwa sababu kuna wapuuzi fulani wametia sumu kwenye chakula? shame upon you, twit!

achana nae ukiona hvyo mwl wa shule ya msingi huyoo
tena mzazi km hutoi mwanao shule ataishi maisha magumu sana
 
Back
Top Bottom