Walimu shule ya msingi Mbezi juu Dar es salaam wanadhulumu wanafunzi

miley

Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
87
Reaction score
14
Pamoja katika sera za Wizara ya elimu kutoa tamko hakuna mtoto kumlipisha pesa za tuition, lakini shule hii mtoto kila siku lazima aende na sh, 2,000/ sh. 300 iyo quick test. 200 ya uji. 300 ya mtihani wa mchana. 500 ya masomo ya ziada jioni hata hivyo wanapewa maswali tu alafu wanabadilishana karatasi wanasahishana.

Mtoto hajala mchana, hapo hapo kuna siku za ijumaa mtihan sh. 1500 hadi 2000.

Walimu anachukua mkopo akitegemea marejesho kwa wanafunzi halafu mtoto akikosa viboko wakati iyo pesa anapewa na mzazi wake, kwa kweli hii hali afadhali ya shule za private.

Ukitoa pesa mtoto anasoma hadi mwisho.

Wakuu wa elimu naomba ilo mlione.
 
Huu ni uzushi usiokubalika ktk jamii hii. Mbezi juu wanasoma watoto wengi wa walalahoi. elfu mbili mara tano ni mwekundu mmoja. Mzazi anaemudu kutoa hii hela kwa wiki kwa nini asiende private gari limguate chumbani ? Walimu wa serkali sikivu ya ccm wanayo mishahara yao mikubwa tu halafu wengi wa Mbezi juu ni wake za mafisadi hawahitaji kuwaibia wtt. Siku nyingine fanya utafiti wa kutosha sio kuleta maneno ya mwanao anaekuibia. sawa dogo ?
 
Teh teh teh hapo kwenye mshahara umenifurahisha kweli mwizi mwizi tu hata awe bilionea.
 
Halafu mkuu we umeleta uzi huu umefanya la maana,
Shule baadhi za Mbagala zina mfumo kama huo.
Siku moja kuna ndugu yangu aliuwasha moto waalim wakamuambia usitumwagie ugali.
Huu ni mfumo na wizara inajua.Zipo Shule kama mbili Mbagala nazijua ni lazima mtoto kila siku aende shule na pesa.Na Pia Tuition ni lazima asome la sivyo kichapo na kuzuiliwa shule,na pia alipie.Halafu hizo test ndio usiseme,waalim wamekatazwa kuuza vitu shuleni sasa wamebadilisha mfumo wa tests kwa malipo ya lazima.

Siku moja waziri anaulizwa anasema hakuna na hana taarifa kama kuna mtu anazo ampelekee,sasa wewe unafanya kazi gani,si uende shule ustukize uone kama watoto hawasanui vyote.
Yapo mengi sana kwenye shule hizi za St.Kayumba
 
waajiriwa karibu wote ndo zao.hawaishi kwa mishahara pekee.nenda polisi mahakamani hospt tra etc mambo ni yaleyale
 
Huu ni uzushi usiokubalika ktk jamii hii. Mbezi juu wanasoma watoto wengi wa walalahoi. elfu mbili mara tano ni mwekundu mmoja. Mzazi anaemudu kutoa hii hela kwa wiki kwa nini asiende private gari limguate chumbani ? Walimu wa serkali sikivu ya ccm wanayo mishahara yao mikubwa tu halafu wengi wa Mbezi juu ni wake za mafisadi hawahitaji kuwaibia wtt. Siku nyingine fanya utafiti wa kutosha sio kuleta maneno ya mwanao anaekuibia. sawa dogo ?

kweli sio mbezi tuu
shule zote za dar tena wanaita maboresho,wenyewe walimu wanaita DECI,dada angu mwl manispaa ya ilala kila siku wanafunzi wanaenda na sh.400,la saba jumamosi 1500,darasa la kwanza sh.300.
kiukweli walimu wa DAR hasa primary hiyo ndo posho yao na mtihani mwisho wa mwezi 1500
Mdogo wangu yuko std six kila jumakos elf2,kila siku 400 wadogo zangu wa wengine kil siku400
 
Mkuu.
Kuepuka huu usumbufu wa mara mia nne mara alfu wapeleke St Mary's kule nasikia basi linawafuata watt halafu wanapewa kuanzia chai mpaka lumch bila lutoa pesa. Habari hii nimeipata wa mtt wa darasa la pili anaesoma huko. nasikia na uniform wanapewa huko huko
 
Mkuu mleta mada,shule nyingi za Dar hiyo tabia imeota mizizi...
 
Pamoja katika sera za Wizara ya elimu kutoa tamko hakuna mtoto kumlipisha pesa za tuition, lakini shule hii mtoto kila siku lazima aende na sh, 2,000/ sh. 300 iyo quick test. 200 ya uji. 300 ya mtihani wa mchana. 500 ya masomo ya ziada jioni hata hivyo wanapewa maswali tu alafu wanabadilishana karatasi wanasahishana.

Mtoto hajala mchana, hapo hapo kuna siku za ijumaa mtihan sh. 1500 hadi 2000.

Walimu anachukua mkopo akitegemea marejesho kwa wanafunzi halafu mtoto akikosa viboko wakati iyo pesa anapewa na mzazi wake, kwa kweli hii hali afadhali ya shule za private.

Ukitoa pesa mtoto anasoma hadi mwisho.

Wakuu wa elimu naomba ilo mlione.

weka kapicha mkuu pamoja na source ya habari ili tuamini.
 
Huu ni uzushi usiokubalika ktk jamii hii. Mbezi juu wanasoma watoto wengi wa walalahoi. elfu mbili mara tano ni mwekundu mmoja. Mzazi anaemudu kutoa hii hela kwa wiki kwa nini asiende private gari limguate chumbani ? Walimu wa serkali sikivu ya ccm wanayo mishahara yao mikubwa tu halafu wengi wa Mbezi juu ni wake za mafisadi hawahitaji kuwaibia wtt. Siku nyingine fanya utafiti wa kutosha sio kuleta maneno ya mwanao anaekuibia. sawa dogo ?

Bategerez umeongea point sana kumjibu huyu mbululaz
 
Last edited by a moderator:
Mkuu.
Kuepuka huu usumbufu wa mara mia nne mara alfu wapeleke St Mary's kule nasikia basi linawafuata watt halafu wanapewa kuanzia chai mpaka lumch bila lutoa pesa. Habari hii nimeipata wa mtt wa darasa la pili anaesoma huko. nasikia na uniform wanapewa huko huko

wazazi wengi hawana uwezo wa kuzikusanya kwa pamoja hizo pesa
maisha ya dar mtu anatafuta pesa ya kula leo kesho anajua MUNGU
 
Wanafunzi kibao wanaacha shule katikati.
Yaani kwa bei hizi ni bora ujikaze umpeleke shule binafsi.
Tatizo lao Risiti ni tatizo kwao,maana na wakitoa hazina TIN number kuonyesha kwamba Kodi hailipwi hapo.Na ukiwalipa kwa mwaka hawataki.
Sema tu Wizara imepata waziri muongeaji sana na sugu wa kusikia.
 
weka kapicha mkuu pamoja na source ya habari ili tuamini.

Picha ya Tshs 2,000/-, Mwalimu, Uji, Tuition, au Picha ya Rushwa??

Halafu sio kila habari ina source Mkuu, ukitegemea sana sources utakua hushughulishi ubongo, saa zingine source inabidi uwe ni wewe mwenyewe!!
 
Polisi anaechukua rushwa kinguvu hamumsemi.
Nesi hasemwi.
Hakimu hamumsemi.
Daktari mmemnyamazia.
kule ardhi kulivyooza hamsemi
Lecturer anaetoa maksi za pichu hamumsemi
mmeona nji hii mlarushwa ni MWALIMU
 
mkuu umelazimishwa kumpeleka mwanao pale kama hutaki si uache tu
 
Ni maboresho kwenye elimu ndo maana mtoto aliehitim drs la 7 dar huwezi kumfananisha na wa mikoa mingine.
 
Mkuu mleta mada,shule nyingi za Dar hiyo tabia imeota mizizi...

Kuwa muelewa mkuu, walimu wanafundisha partime na serikali haina hela ya kuwalipa hvyo ni jukumu la shule kukaa na wazazi kuangalia kwa jinsi gani watoto wanasoma huo muda wa ziada.

USHAHIDI
mimi ni mwalimu wa sekondari. yalipotoka matokeo ya form 2 mwaka huu wengi walifeli kiasi kwamba kwa wastani wa alama 30 kama utaratibu wa wizara kuna shule zingekosa wanafunzi form 3.

matokeo yalipokuja yaliambatana na waraka kuwa hadi waliopata alama 20 waendelee na kidato cha tatu.

wakati huo huo wanafunzi hao wapatiwe darasa rekebishi (remedial classes) kuwaweka sawa.

kutoka shule mwalimu ni saa 8 mchana.
darasa rekebishi ni kuanzia saa 8 hadi saa 12 jioni.
je mwalimu gani atakubali kubaki shule kufundisha mwanao bure??

Kumbuka serikali imetoa waraka tu bila kusema kwamba itawalipa walimu.

kilichofuata ni shule kukaa na wazaz na kwa hiyari yao wakakubali kuchangia.
HAKUNA BURE SIKU HIZI
 
If you think education is expensive,try ignorance.
 
Back
Top Bottom