WALIMU: No 'big result now' without 'big salary now'!

WALIMU: No 'big result now' without 'big salary now'!

Kusema kuwa walimu wanadai malimbikizo ya stahili za likizo na uhamisho kwa ujumla bila ya kutolea mifano ni makosa. naamini kuwa wapo walimu wenye madai yao stahiki lakini naamini pia wapo walimu ambao hawana madai au wana madai ambayo hayana vielelezo. ni jukumu la mwajiri na mwajiriwa kukaa pamoja na kujadiliana juu ya madai hayo.

mkuu, sasa hapa unawatetea walimu wanaodhurumiwa stahili zao na serikali au unaisifu serikali kwa kukalia madai ya walimu? je, una uhakika kwamba hizo 26bn wanazoidai serikali hazijawa verified? na je, unataka kusema kwamba kama baadhi ya madai sio sahihi (kwa mujibu wa akili zako) hicho kigezo kinatosha kuifanya serikali isiwalipe madai yao for good? tafakari kabla ya kuongea ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom