Walimu ni kundi la wanafiki, waoga na wasengenyaji kuliko kada yoyote Ile

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,843
Hili kundi lina majungu sana. Utakuta mwalimu mwenzao anapambana kuanzisha miradi nje ya kazi ya ualimu lakini walimu wenzake wa shule moja wanaanza kumletea majungu na kumsakama kuwa amesahau kazi ya ualimu, anakuja Anachelewa kazini, anaondoka kabla ya mda wa kazi kuisha, Mara haandiki notes darasani ili tu huyo mwalimu akwame kwenye miradi Yake wao wafrahi

Unakuta mwalimu anapambania haki zake za malimbikizo, study leave, uhamisho, recategorization na mengine mengi ila hao hao walimu wenzake wanaomba dua ishu ikwame ili wafrahi tena mkuu wa shule ndoanakuwa mwalimu wa kwanza Kwa unafiki na uzandikuna wa kumsababisha mwalimu anadaedai haki zake halmashauri ashindwe kupata haki zake maana utakuta mkuu wa shule anamwambia saa zingine huyo mwalimu apunguze safari za halmashauri zimezidi

Mwalimu akiwa mtu wa kupenda haki wenzake watamwita mjuaji, mkorofi, hana adabu, haridhiki, tena wanasema kama hutaki kazi ya ualimu siuacheee kwani umelazimishwaa. Hawa ndo walimu wazee wa vumbi la chaki, kazi mlima posho marweni

Wanapiga kazi mpaka likizo kudadeki hhhahaha. Adui wa mwalimu ni mwalimu mwenzake. Fullstop.
 
Mwalimu anamjua mwalimu mwenzie

Asante mwalimu Mpwayungu Village Kwa kuisemea kada Yako
Screenshot_20230606-144523~2.png
 
Adui wa mwalimu ni mwalimu mwenzake :D
Ipo hivyo, walimu ni nuksi sana mkuu ni wachawi haswaaa. Yani wanapenda wote wawe na madeni, watazamane tu wachekane na umasikini wao hawataki mwenzao ajikwamue.

Hawapendi kulindana, kama mwalimu mwenzao hayupo shuleni kaenda kwenye harakati zake Kuna haja gani ya kuumia moyo tena mbaya zaidi wengine wapo radhi kwenda mpaka halmashauri Kwa nauli zao kumchongea mwalimu mwenzao mpambanaji utakuta wanasema kasahau kazi iliyomleta Kawa muuza duka mitaani
 
Asante kwa kuwsemea walimu wenzako
Screenshot_20230606-144523~2.png
 
Hii ndio tabia ya walimu........ Brother Mpwayungu nimekufuatilia muda mrefu. Kwa uandishi wako unavyopita na hizo content zako ww ni mwalimu/ushawahi kuwa mwalimu..
Mwalimu anamjua mwalimu mwenzie

Asante ticha Mpwayungu Village Kwa uzalendo wako,inabidi niongee na Bi Ulaya,mwenyekiti mstaafu wa CWT Taifa upaw Kitengo pale CWT Ili ututete vizuri
Screenshot_20230606-144523~2.png
 
Back
Top Bottom