Walimu nchini mjiandaa kwa Laptop

Walimu nchini mjiandaa kwa Laptop

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
wamewaibia watanzania wakingangania Madaraka sasa tunamtaka huyo rais Wa tume aanze na kugawa laptop Kwa waalimu nchini na waalimu bawaomba sasa mpeleke mapendekezo ya aina na ranging ya laptop ambayo atawagawia msisahau Model....
 
na vijiji vijiandae kupokea mabilioni ya pombe
 
wamewaibia watanzania wakingangania Madaraka sasa tunamtaka huyo rais Wa tume aanze na kugawa laptop Kwa waalimu nchini na waalimu bawaomba sasa mpeleke mapendekezo ya aina na ranging ya laptop ambayo atawagawia msisahau Model....

Labda ziwe za solar kwa kuwa hata umeme utapotea kabisa licha ya kuchajia nyumbani kwa dc mwenye generator
 
wamewaibia watanzania wakingangania Madaraka sasa tunamtaka huyo rais Wa tume aanze na kugawa laptop Kwa waalimu nchini na waalimu bawaomba sasa mpeleke mapendekezo ya aina na ranging ya laptop ambayo atawagawia msisahau Model....
Nasikia tayari makontena yamepakiwa leo meli kumi kuanzia week ijayo bandarini full busy! Nasikia uchungu sana maana la libya kumuua sadam bado linaniuma sana.
 
Haya hapo ndo kutakucha sasa, namuonea huruma san rais wa tume maana watz wa leo sio wa enzi za nyerere.
 
wamewaibia watanzania wakingangania Madaraka sasa tunamtaka huyo rais Wa tume aanze na kugawa laptop Kwa waalimu nchini na waalimu bawaomba sasa mpeleke mapendekezo ya aina na ranging ya laptop ambayo atawagawia msisahau Model....

Na nyie endelea kufunga ngombe
 
Haya hapo ndo kutakucha sasa, namuonea huruma san rais wa tume maana watz wa leo sio wa enzi za nyerere.

Rais wa tume,
Madiwani wa tu,
Wabunge wa tume,
Chukua za jirani changanya na zako,vinginevyo unakufa vuvuzera tu,
 
Upo enzi za mwalimu za kuchagua mafiga matatu, watz walikuwa hawachagui chama bali mtu.
 
wamewaibia watanzania wakingangania Madaraka sasa tunamtaka huyo rais Wa tume aanze na kugawa laptop Kwa waalimu nchini na waalimu bawaomba sasa mpeleke mapendekezo ya aina na ranging ya laptop ambayo atawagawia msisahau Model....
Mkuu mimi nataka HP pro book, moderm na external back up ya gb, 50 ili nianze kupiga kazi.
 
Back
Top Bottom