Walimu nani kawaroga?

Hongera sana Mkuu. MUNGU akubariki katika juhudi zako za kuboresha maisha.
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mwalimu, sijalogwa!!!! Ninamiliki nyumba ya kati, Namiliki gari la kati, watoto wangu wote wana elimu ya chuo kikuu, sioni hao wenye taaluma nyingine waliponizidi significantly!!!!!, labda wale mafisadi hasa walioko kwenye nafasi za uteuzi na wenye madaraka ya juu wafanyao ufisadi!! Vinginevyo maisha ni jinsi unavyoyapangilia. Ualimu siyo balaa, ualimu haukuzuii kuwa mjasilia mali, ualimu haukuzuii kuwa mfanyabiashara, ualimu haukuzuii kuwa mkulima!! Waalimu acheni kulia lia, angalieni fursa!!! Msipende mijini tu, vijijini kuna fursa kibao!!!, ardhi ya bei rahisi iko vijijini. Umeme wa REA uko vijijini, waalimu chapeni kazi, fanyeni ujasiliamali, anzisheni makampuni, ajirini watu!!! Wewe unapiga chaki huku una wafanyakazi takriban kumi kwenye biashara zako na mashamba yako!! Amkeni!!!!
 
Well said. Effective and good inspirational one.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wewe ni mwalimu wa nchi hii wa shule za serikali, unajitambua na umesoma na kuelimika; unatakiwa uifanye hii kazi "under minimum stress"

Unatakiwa kuwekeza 40% tu ya akili yako kwenye hiyo kazi na hizo 60% zilizobaki hakuna namna, ni kuwekeza tu kwenye ishu zako za kukuongezea kipato nje ya mshahara. Hakuna namna, walimu lazima wabadirike kimtazamo. Kinyume na hapo basi umaskini huwezi kuukwepa baada tu ya kustaafu.
 
Nyie ndo walewale

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi pia mkuu nina nyumba ua 40 mil. Nastaf 2039

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na fimbo zimepigwa marufuku.ukitaka kudhibu Mkuu wako anatakiwa asaini kuruhusu.hahahaha Mungu atupe uzima tuendelee kushuhudia madhara ya kudharau walimu na elimu yetu.wala hatushtuki tunachoenda kukivuna.
 
Na fimbo zimepigwa marufuku.ukitaka kudhibu Mkuu wako anatakiwa asaini kuruhusu.hahahaha Mungu atupe uzima tuendelee kushuhudia madhara ya kudharau walimu na elimu yetu.wala hatushtuki tunachoenda kukivuna.
Mwisho wa siku lazima, mwalimu ataulizwa kwann wanafunzi wamefeli.
Fimbo kwa kiasi flani inasaidia kumuweka sawa mwanafunzi.
Tena wanafunzi wenyewe wa siku hizi mapenzi, social networks na seasons zimewaharibu, ndio basi tena ujinga na upumbavu utazalikana mpka basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Big up sana mwalimu....na hii ndio akili tunayotakiwa Ku-install kwenye vichwa vya watanzania wengi.

Maisha ni akili yako, wala sio kitu kingine. Akili itazaa bad or good life....wzap to you.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…